Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Imeandikwa KUNENA. Sijakurekebisha bali hili neno lako KUJIDHIHIRISHA ndio unataka kuchomeka! Halimo kwenye biblia.....Ondoa ananena weka neno anajidhihirisha.Asante kwa kunirekebisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa KUNENA. Sijakurekebisha bali hili neno lako KUJIDHIHIRISHA ndio unataka kuchomeka! Halimo kwenye biblia.....Ondoa ananena weka neno anajidhihirisha.Asante kwa kunirekebisha.
Hapana mkuu Biblia inasema ukristo ni religion of reasoning yaani sio kila kitu kwa kuwa ni imani tu unakimeza ila lazima uhoji maana mafundisho mengi ya kupotosha soma hapa;
1 Yohana 4:1
1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Na hii ni shida kubwa sana wakristo wengi kuna vitu wanapotoshwa ila kwa kuwa wana mentality kama yako basi wao bora liende mwisho wa siku wanapotezwa ona kwa mfano manabii feki walivyojaa wanawauzia sabuni,maji,mafuta eti yakawaponye na wao hawawezi kuhoji maskini wanaingizwa mkenge wakiamini ile ni Roho ya Mungu bila kujua ni ya mpinga kristo!!
Kwa staili hii mpaka Yesu anarudi atakuta walioshika imani hawazidi 10 nyie endeleeni tu kukaririshwa bila kuhoji mtakuja kujuta
Yangu macho!!
Mkuu naona nazunguruka,ila umenifundisha siku za mbeleni nitatumia vifungu vya bibilia ili kuepusha utata.Imeandikwa KUNENA. Sijakurekebisha bali hili neno lako KUJIDHIHIRISHA ndio unataka kuchomeka! Halimo kwenye biblia.....
Nilijua turn unakoelekea nI huko, kwanza ulianza siri sasa unahoji uhalali usianze kuzunguka sema Shida yako au ushauri wako ni nini? tuachane name Bible tukifuate kitabu unacho kiamini wewe, au na sisi tufanye masahihisho?Mkuu wikipedia inaingiaje hapa..... Tunavyoongea tayari kuna biblia versions 9 na mzee zaidi ni KJV maana ndio ilikuwa ya mwanzoni na mpya zaidi ni NIV (2011) na ndio inadai chanzo cha watafsiri wa KJV ni text receptus waliokuwa nayo 1600 lakini hawa wa NIV waliikuta text receptus ya zamani zaidi kutoka dead sea scrolls ambayo haikuwa na hayo maneno 64,000 na hiyo mistari niliyoorodhesha sasa basi wakasema KJV ilichakachuliwa na ndio leo hii NIV ndio inayotumika zaidi duniani yaani kwenye kila biblia 100 zaidi ya 50 ni NIV ila bible ya kiswahili ilitoholewa kutoka KJV ndio nauliza sasa nani mkweli kati ya KJV na NIV?? Na kama NIV ni mkweli (wanatheolojia 80% wanakiri) je nini hatma ya uhalali wa Biblia kama imewahi kuchakachuliwa
ujibu kwanza hili ambalo halihitaji wikipedia bali uwe na biblia mbili tu ya KJV na NIV ili ujengee hoja
Siri ni kwamba kuna vitu kwenye Bible walitaka tusivijue mfanoNilijua turn unakoelekea nI huko, kwanza ulianza siri sasa unahoji uhalali usianze kuzunguka sema Shida yako au ushauri wako ni nini? tuachane name Bible tukifuate kitabu unacho kiamini wewe, au na sisi tufanye masahihisho?
Hahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana mtume s.w hakuwa kiumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wizi mtupu" uwongo mwingi" mnooo" kuna jamaa yangu mmoja majuzi aliniambia eti Muhammad alikuwa na miujiza hakuwahi kuwa na kivuli" Aisee ilibaki kidogo nimzabe makofi" ila bahati yake tulikuwa tuna chat watsaap"" yaani mtu amedanganywa" Kama chizi kiasi kile
hio Quran 18:10 inasema yeye ni mtu tu....Hahahahahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana mtume s.w hakuwa kiumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuamini hivyo ni kukosa elimu na maarifa.. tena ni ujinga. Watu waloelimika hutafuta kwanza evidence kabla ya kuamini. Hiyo bible imeandikwa kwa makini kiasi fulani.. kwa lengo maalum ambalo lilifanikiwa tena sana... ile kwamba wewe ni maskini au huna elimu sahihi au morals ambazo ni independent ni mojawapo ya mafanikio ya bible...Biblia imeandikwa kwa weledi mkubwa sana, sina imani kama wewe huo weledi unao.
Unayoongea ni dhahiri shahiri unaoongea kitu usichokifaham vema.. na haishangazi hata kuona hustuswhi na contradictions kibao zilizoko kwenye bible.. wakati wewe ukiamini kuwa bible iliandikwa ili watu wamjue Mungu na waokoke ili waende peponi sivyo ilivyo..Bwana @zittojunior nafahamu namna unavyoheshimika hapa jf kwa mada tata na vikirishi ila nikusaidie kitu kimoja cheza na mipaka yako katika mambo yanayomuhusu Mungu yaani hapa sizungumzii dini wa dhehebu.
Sijaona utata katika vilivyoandikwa katila bibli kwakua ni vitu vya kiimani na si kisayansi kwamba vinahitaji scientific proof.... Huweizi pata.
Ninauhakika hujisoma biblia ukaielewa nnauhakika hii hoja umeiokota.... Ni kwamba mi si muandishi mzuri ila nishakutana na hoja hizi wakati nafuatilia imani zilizo kinyume na Mungu.....
Ukisoma biblia Agano la kale na jipya limetofautiana kimapokeo tuu lakini kusudio la Mungu lilikua moja tu na bado liko vile vilehata sasa.
Tambu baraza lilipata mamlaka ya kipi kiingie kipi kitoke kutoka kwa Mungu (uvuvio) na huo ndio mpaka wangu wa kuhojik
Watu wamemezeshwa tu mambo wasioyajuwa. Akili yao haiko huru kuhoji na kutafuta majibu. Uongo ukirudiwa rudiwa tena kwa muda mrefu na ukahifadhiwa katika maandishi basi uongo huwa hubadilika na kuwa ukweli..Mkuu sijui umeelewa hoja yangu??? Nachouliza ni kwanini vitabu A B C vilitolewa kwenye biblia ilihali sababu walizotoa bado zipo kwenye baadhi ya vitabu vya biblia?? Mfano nimekueleza NIV walivyogundua marko 16 ilichezewa na wahuni je kwanini na chenyewe kisitolewe kama kilivyotolewa book of enoch au Gospel of Judas
Hii ndio hoja yangu, karibu
Unataka nikuamini wewe?? Mambo mengine ni common sense tu.Kuamini hivyo ni kukosa elimu na maarifa.. tena ni ujinga. Watu waloelimika hutafuta kwanza evidence kabla ya kuamini. Hiyo bible imeandikwa kwa makini kiasi fulani.. kwa lengo maalum ambalo lilifanikiwa tena sana... ile kwamba wewe ni maskini au huna elimu sahihi au morals ambazo ni independent ni mojawapo ya mafanikio ya bible...
😂😂😂😂.. common sense ndo hiyo boss?Unataka nikuamini wewe?? Mambo mengine ni common sense tu.
Una CV gani ya kukuamini wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. common sense ndo hiyo boss?
Mkuu siri ni hyo kwamba kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa kwa sababu X and Y na vingine vimebakizwa ilihali vina madhaifu hayo hayo ya X na Y hapo ndipo kuna siri ambayo natamani wote tui unlock hapa maana kuna uwezekano wachache wanaifahamu kwa gharama ya kupotosha wengine na hyo ndio SIRI inayozungumzwa hapa
Karibu tueleweshane
Bwana @zittojunior nafahamu namna unavyoheshimika hapa jf kwa mada tata na vikirishi ila nikusaidie kitu kimoja cheza na mipaka yako katika mambo yanayomuhusu Mungu yaani hapa sizungumzii dini wa dhehebu.
Sijaona utata katika vilivyoandikwa katila bibli kwakua ni vitu vya kiimani na si kisayansi kwamba vinahitaji scientific proof.... Huweizi pata.
Ninauhakika hujisoma biblia ukaielewa nnauhakika hii hoja umeiokota.... Ni kwamba mi si muandishi mzuri ila nishakutana na hoja hizi wakati nafuatilia imani zilizo kinyume na Mungu.....
Ukisoma biblia Agano la kale na jipya limetofautiana kimapokeo tuu lakini kusudio la Mungu lilikua moja tu na bado liko vile vilehata sasa.
Tambua baraza lilipata mamlaka ya kipi kiingie kipi kitoke kutoka kwa Mungu (uvuvio) na huo ndio mpaka wangu wa kuhoji kibinadamu zaidi ya hapo najitahidi nifike peponi nikamuulize Mungu mwenyewe.
Katika mechanical engineering, tolerance limit ni 0.01mm. Fikiria kalamu (peni), unapofunga kile kizibo unasikia mlio Fulani. kuonyesha tolerance limit inavyofanya Kazi. Kinyume na hapo kizibo kitakuwa loose na kitadondoka na kalamu itapungua thamani.Wengi hutumia hii kama defence mechanism ila huwa hawamaanishi hasa pale wanapoishiwa hoja ndio maana mijadala mirahisi hawakwambii kamuulize Roho mtakatifu ila mijadala migumu ndio wanajibu hivyo hapo huoni kuna shida??
Kama kweli wangekuwa wanamtumia Roho mtakatifu kusingekuwepo na madhehebu mengi wala version za Biblia nyingi ambazo zimeleta hizi discrepancy bali maaskofu wotte wangejifungia chumba kimoja na kumuuliza Roho mtakatifu dhehebu au Biblia gani ni sahihi basi wangekuwa kitu kimoja ila hawafanyi hivyo lakini walipigwa maswali magumu ndio wanamrushia kete roho mtakatifu??
Huu ndio unafiki mkubwa zaidi