Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Sijaiona Siri. Ngoja nijifunze kwa essay Ila ntapita.
Mkuu siri ni hyo kwamba kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa kwa sababu X and Y na vingine vimebakizwa ilihali vina madhaifu hayo hayo ya X na Y hapo ndipo kuna siri ambayo natamani wote tui unlock hapa maana kuna uwezekano wachache wanaifahamu kwa gharama ya kupotosha wengine na hyo ndio SIRI inayozungumzwa hapa

Karibu tueleweshane
 
Kama biblia imetungwa na mtu basi huyo mtu atakuwa sio mtu wa kawaida
Ni kitabu kilichojaa hekima nguvu uponyaji
Hakuna kitabu maarufu dunia zaid ya biblia
Mimi huwa nasoma kila siku na kupata vitu vipya

Tatizo imani ndio shida usipokuwa na iman utaona kama gazet tu
 
Biblia inajitafsiri yenyewe
Biblia ni ufunuo wa simulizi ya ukombozi upatikanao kwa imani katika Kristo (tazama Luka 24:27, 44-47;
Yoh 5:39). Ingawaje, ufunuo wa Mungu ni jambo la kuendelea—i.e., unajifunua katika Biblia nzima. Kanuni kadhaa hutokana na kweli hii.
1. Maandiko kamwe hayawezi kujipinga.
a. Biblia nzima inakubaliana katika ujumla wake. Kwa hiyo sehemu mbili za maandiko zinazoonekana kupingana zinapochambuliwa vema hugundilika kwamba hazipingani. Sehemu moja ya maandiko inaweza kuboresha nyingine, au kuipa usahihi zaidi lakini haitaipinga.
b. Wakati mwingine kweli mbili au zaidi hufundishwa kwa uwazi katika Biblia, lakini hutokea kukinzana. Kwa mfano Ukuu wa Mungu na wajibu wa mwanadamu ni vigumu kupatana ingawa bado Biblia inafafanua hayo mawili. Katika hali kama hizo kumbuka kwamba Biblia ni mkusanyiko ya kweli za kiungu kwa akili za mwanadamu zenye mipaka. “Wakati kweli mbili au zaidi zinafunazofundishwa kwa uwazi katika Biblia zinakinzana kumbuka kwamba unao ufahamu wenye mipaka. Usiyachukue mafundisho katika hali ya kuzidi kile ambacho Mungu hakusema ile kubaki kuwa sahihi katika ufahamu wako. Mwache Mungu asema alichosema bila kujaribu kumsahihisha au kumfafanua Mungu. Kumbuka yeye ni Mungu na wewe ni mtu. Nyenyekeza moyo wako kirahisi kwa imani na amini alichosema hata kama huwezi kuelewa au hakiendani na ufahamu wako vizuri”.
2. Hatua ya ukombozi kwa pamoja na “shauri zima la Mungu” (Matendo 20:27) ni lazima izingatiwe kwa utaratibu maalumu ili kuelewa kwa usahihi kifungu maalumu cha maneno. Biblia ni kitabu kinachoeleza simulizi moja inayoelezea habari inayokubaliana. Ingawa ukweli wote wa Biblia haujafunuliwa kwa wakati mmoja, lakini ulifunuliwa kwa mwendelezo kwa muda mrefu. AK ni maandalizi ya Injili; Injili zote katika Agano jipya ni udhihirisho wa Injili; Matendo ya Mitume ni upanuzi wa Injili; Nyaraka ni ufafanuzi ya Injili; na Ufunuo ni matumizi ya Injili. Maana kamili ya kifungu chochote cha maneno haiwezi kueleweka vema kama haijazingatia Biblia nzima na hatua ya historia ya ukombozi. “Kusoma Biblia kwa kuzingatia mazingira halisi ya ujumbe kama Neno la Mungu ni lazima kuhusisha maandiko yote yaliyokubaliwa kama mazingira hitimisho ya kifungu husika cha maneno”
Nimefurahishwa saana kwa huu ufafanuzi.....
Tatizo watu wa GT wanazani wamesoma kila kitu wamemaliza kumbe si kweli, wengi ni vi 'hoja' wanaokoteza kwa wafuasi wa mashetani na kuja kupotosha watu.

Mleta mada ameleta mada vikorishi kwa watu wasiojua maandiko wala imani.

Biblia ni kitabu kilicho vuviwa kila moja kwa wakati wako ila kwa dhumuni moja tuu kama kuna vilivyo acjwa maana dhumuni ni tofauti na hivi vingine ambavyo Mungu alikusudia vitufikie.

Kama zama hizo manabii haikua rahisi kuwaamini mpaka kujaribiwa wengine unadhani ni waongo wangapi waliibuka wakijifanya wanatoka kwa Mungu?? Na ndio maana Mtume s.w.a anawaambia waislamu Quran imekamilishwa na taorati, zaburi, injili pamoja na Quran yenyewe kwakua msingi wa Imani kwa Mungu wa kweli ni kutoka kwa wayahudi kama taifa teule.

Biblia kwangu ni kitabu kisicho na shaka bali ni kimbilio na majibu ya maswali yangu yoote maana hata hichi kuulizwa juu ya kweli kutiliwa shaka ilashanijulisha.

Wakristo tusome biblia, waislamu tusome biblia na Quran.
 
Ndio maana kwenye Qur'an huwezi kuona makosa mengi kama kwenye biblia ambayo ni ya wazi sana kwenye agano jipya,, najiuliza tu kwanini waislam hawana agano jipya inamaana wao hawakuwa na agano before?
 
kama biblia imetungwa na mtu basi huyo mtu atakuwa sio mtu wa kawaida
ni kitabu kilichojaa hekima nguvu uponyaji
hakuna kitabu maarufu dunia zaid ya biblia
mimi huwa nasoma kila siku na kupata vitu vipya

tatizo imani ndio shida usipokuwa na iman utaona kama gazet tu
Hoja yako ni nyepesi sana
Mbona jarida la Playboy ni maarufu duniani kwahiyo limeanzisha na mtu asiye wa kawaida ?
 
kama biblia imetungwa na mtu basi huyo mtu atakuwa sio mtu wa kawaida
ni kitabu kilichojaa hekima nguvu uponyaji
hakuna kitabu maarufu dunia zaid ya biblia
mimi huwa nasoma kila siku na kupata vitu vipya

tatizo imani ndio shida usipokuwa na iman utaona kama gazet tu
Ni kweli mkuu sijakataa kina hekima sasa kama NIV inasema KJV imechakachuliwa tuchukue lipi tuache lipi?? Nani ni sahihi kati yao na biblia zote mbili zinatumika??
 
Mkuu unadanganya! Unajua biblia ya NIV ni nani aliye ichapisha na lengo unalijua?
Duh mkuu nimedanganya tena??? Mbona nimeweka hoja zao..... Ni hivi NIV walitumia texts za nyuma zaidi ila KJV imetumia more recent scripts sasa basi hao NIV wakasema KJV sio credible ndio wakafuta ile mistari sasa unaposema nia yao sielewi unauliza nini maana walikuja na ushahidi wa kihistoria kisayansi na kihoja ndio maana biblia yao imekubalika kutumika hata leo ndio maana nikaleta hoja humu ili sasa kama unajua chochote ukimwage humu ila kuanza kusema nadanganya mara sijui NIA YAO, unakuwa hutendei haki huu uzi.

Eleza unachokifahamu kwa faida ya wote tuache shutuma na kejeli, karibu
 
Ndio maana kwenye Qur'an huwezi kuona makosa mengi kama kwenye biblia ambayo ni ya wazi sana kwenye agano jipya,, najiuliza tu kwanini waislam hawana agano jipya inamaana wao hawakuwa na agano before?
Sasa hiyo unayoisena ni kwa taarifa yako ni "hybrid" ya holly bible. Jamaa aliikariri kwa muda mfupi kama unavyotaka kufanya mtihani halafu unalazimisha material mengi kwa wakati mmoja, jamaa yakajichanganya kichwani , na akawa atatamka maandiko yaliyohalisi na madude mengine kama vile mtu anayeota ndio maana hata hayo maandiko hayajanyooka yaani habari hajulikani imezia wapi wala inaishia wapi ipo kama mashairi yanayoanzia mwisho
 
Unajua maana ya injili wewe?? (injili ni Agano jipya) Hapo ulipo hata Quran hajikubali eti inamakosa....!! wewe tazama maisha yako tuu binafsi hujayaweza wala hujui kesho yake then unahoji ya Mungu eti yanamakosa???

Huu ujuaji mwingi ndio ulioleta maafa na dhambi hapa duniani maana shetani aliwaambia Adam na Hawa wakila tunda watakua sawa na Mungu..... So kua makini na ujuaji wako mwingi yawezekana unatumika na shetani bila kujijua
 
Nimefurahishwa saana kwa huu ufafanuzi.....
Tatizo watu wa GT wanazani wamesoma kila kitu wamemaliza kumbe si kweli, wengi ni vi 'hoja' wanaokoteza kwa wafuasi wa mashetani na kuja kupotosha watu.

Mleta mada ameleta mada vikorishi kwa watu wasiojua maandiko wala imani.

Biblia ni kitabu kilicho vuviwa kila moja kwa wakati wako ila kwa dhumuni moja tuu kama kuna vilivyo acjwa maana dhumuni ni tofauti na hivi vingine ambavyo Mungu alikusudia vitufikie.

Kama zama hizo manabii haikua rahisi kuwaamini mpaka kujaribiwa wengine unadhani ni waongo wangapi waliibuka wakijifanya wanatoka kwa Mungu?? Na ndio maana Mtume s.w.a anawaambia waislamu Quran imekamilishwa na taorati, zaburi, injili pamoja na Quran yenyewe kwakua msingi wa Imani kwa Mungu wa kweli ni kutoka kwa wayahudi kama taifa teule.

Biblia kwangu ni kitabu kisicho na shaka bali ni kimbilio na majibu ya maswali yangu yoote maana hata hichi kuulizwa juu ya kweli kutiliwa shaka ilashanijulisha.

Wakristo tusome biblia, waislamu tusome biblia na Quran.
Mkuu hii mada niliweka Rai yangu mapema kabisa kuwa nachokoza mada ili kupata maarifa na wala sikusema biblia imekosewa au ina mapungufu ila nimehoji kwamba kwanini sababu zilezile zilizopelekea vitabu nilivotaja kutolewa hazijatumika kuvitoa vingine vyenye kasoro hizo hizo??

Ni vizuri tusome kwansa historia ya Biblia kabla hatujaanza kukosoa maana unaposema kilivuviwa nani amesema hakijavuviwa??? Nachohoji nini kilipelekea ile kamati ya Constantinople kupunguza hivyo vitabu ilihali kasoro walizoainisha ndio hizo hizo zimepatikana kwenye biblia

Hapa ndio mzizi wa mada, ni vizuri tuijadili kwa utulivu na kueleweshana kuliko kuanza kuitana WAFUASI WA SHETANI kisa kuhoji tu hatutafika kwa kweli tujifunze kujihusisha na mjadala ya faida kuliko ushindani.

Ni hayo tu
 
Biblia inajitafsiri yenyewe
Biblia ni ufunuo wa simulizi ya ukombozi upatikanao kwa imani katika Kristo (tazama Luka 24:27, 44-47;
Yoh 5:39). Ingawaje, ufunuo wa Mungu ni jambo la kuendelea—i.e., unajifunua katika Biblia nzima. Kanuni kadhaa hutokana na kweli hii.
1. Maandiko kamwe hayawezi kujipinga.
a. Biblia nzima inakubaliana katika ujumla wake. Kwa hiyo sehemu mbili za maandiko zinazoonekana kupingana zinapochambuliwa vema hugundilika kwamba hazipingani. Sehemu moja ya maandiko inaweza kuboresha nyingine, au kuipa usahihi zaidi lakini haitaipinga.

b. Wakati mwingine kweli mbili au zaidi hufundishwa kwa uwazi katika Biblia, lakini hutokea kukinzana. Kwa mfano Ukuu wa Mungu na wajibu wa mwanadamu ni vigumu kupatana ingawa bado Biblia inafafanua hayo mawili. Katika hali kama hizo kumbuka kwamba Biblia ni mkusanyiko ya kweli za kiungu kwa akili za mwanadamu zenye mipaka. “Wakati kweli mbili au zaidi zinafunazofundishwa kwa uwazi katika Biblia zinakinzana kumbuka kwamba unao ufahamu wenye mipaka. Usiyachukue mafundisho katika hali ya kuzidi kile ambacho Mungu hakusema ile kubaki kuwa sahihi katika ufahamu wako. Mwache Mungu asema alichosema bila kujaribu kumsahihisha au kumfafanua Mungu. Kumbuka yeye ni Mungu na wewe ni mtu. Nyenyekeza moyo wako kirahisi kwa imani na amini alichosema hata kama huwezi kuelewa au hakiendani na ufahamu wako vizuri”.

2. Hatua ya ukombozi kwa pamoja na “shauri zima la Mungu” (Matendo 20:27) ni lazima izingatiwe kwa utaratibu maalumu ili kuelewa kwa usahihi kifungu maalumu cha maneno. Biblia ni kitabu kinachoeleza simulizi moja inayoelezea habari inayokubaliana. Ingawa ukweli wote wa Biblia haujafunuliwa kwa wakati mmoja, lakini ulifunuliwa kwa mwendelezo kwa muda mrefu. AK ni maandalizi ya Injili; Injili zote katika Agano jipya ni udhihirisho wa Injili; Matendo ya Mitume ni upanuzi wa Injili; Nyaraka ni ufafanuzi ya Injili; na Ufunuo ni matumizi ya Injili. Maana kamili ya kifungu chochote cha maneno haiwezi kueleweka vema kama haijazingatia Biblia nzima na hatua ya historia ya ukombozi. “Kusoma Biblia kwa kuzingatia mazingira halisi ya ujumbe kama Neno la Mungu ni lazima kuhusisha maandiko yote yaliyokubaliwa kama mazingira hitimisho ya kifungu husika cha maneno”
Mkuu sijui umeelewa hoja yangu??? Nachouliza ni kwanini vitabu A B C vilitolewa kwenye biblia ilihali sababu walizotoa bado zipo kwenye baadhi ya vitabu vya biblia?

Mfano nimekueleza NIV walivyogundua marko 16 ilichezewa na wahuni je kwanini na chenyewe kisitolewe kama kilivyotolewa book of Enoch au Gospel of Judas

Hii ndio hoja yangu, karibu
 
Napenda kuchukua Fursa hii kuwakaribisha katika chama la watu huru chini ya Utumwa wa mzungu kupitia dini ningependa mfanye tafiti juu ya dini za mababu zetu. Tupate kuamia huko kwa kuwa zilitenda miujiza ya ajabu waliweza kuita mvua ikaja. Tofauti na kina Gwajima wanazidiwa na Jembe na Mshana Jr wa kigoma kwa kuleta radi, vimbunga na Mvua
 
Mkuu hii mada niliweka Rai yangu mapema kabisa kuwa nachokoza mada ili kupata maarifa na wala sikusema biblia imekosewa au ina mapungufu ila nimehoji kwamba kwanini sababu zilezile zilizopelekea vitabu nilivotaja kutolewa hazijatumika kuvitoa vingine vyenye kasoro hizo hizo??

Ni vizuri tusome kwansa historia ya Biblia kabla hatujaanza kukosoa maana unaposema kilivuviwa nani amesema hakijavuviwa??? Nachohoji nini kilipelekea ile kamati ya Constantinople kupunguza hivyo vitabu ilihali kasoro walizoainisha ndio hizo hizo zimepatikana kwenye biblia

Hapa ndio mzizi wa mada, ni vizuri tuijadili kwa utulivu na kueleweshana kuliko kuanza kuitana WAFUASI WA SHETANI kisa kuhoji tu hatutafika kwa kweli tujifunze kujihusisha na mjadala ya faida kuliko ushindani.

Ni hayo tu
Bwana @zittojunior nafahamu namna unavyoheshimika hapa jf kwa mada tata na vikirishi ila nikusaidie kitu kimoja cheza na mipaka yako katika mambo yanayomuhusu Mungu yaani hapa sizungumzii dini wa dhehebu.

Sijaona utata katika vilivyoandikwa katila bibli kwakua ni vitu vya kiimani na si kisayansi kwamba vinahitaji scientific proof.... Huweizi pata.
Ninauhakika hujisoma biblia ukaielewa nnauhakika hii hoja umeiokota.... Ni kwamba mi si muandishi mzuri ila nishakutana na hoja hizi wakati nafuatilia imani zilizo kinyume na Mungu.....

Ukisoma biblia Agano la kale na jipya limetofautiana kimapokeo tuu lakini kusudio la Mungu lilikua moja tu na bado liko vile vilehata sasa.

Tambu baraza lilipata mamlaka ya kipi kiingie kipi kitoke kutoka kwa Mungu (uvuvio) na huo ndio mpaka wangu wa kuhojik
 
Sasa hiyo unayoisena ni kwa taarifa yako ni "hybrid" ya holly bible. Jamaa aliikariri kwa muda mfupi kama unavyotaka kufanya mtihani halafu unalazimisha material mengi kwa wakati mmoja, jamaa yakajichanganya kichwani , na akawa atatamka maandiko yaliyohalisi na madude mengine kama vile mtu anayeota ndio maana hata hayo maandiko hayajanyooka yaani habari hajulikani imezia wapi wala inaishia wapi ipo kama mashairi yanayoanzia mwisho
Mkuu nakuomba kwa unyenyekevu tuepuke kejeli za kidini hapa haikuwa nia yangu hii kuleta mivurugano ya kidini bali tujifunze wote kwa pamoja.... Hivyo kama unaona mtu haelewi kitu mueleweshe ila sio kukashifu imani yake

Kumradhi lakini
 
Back
Top Bottom