Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Ndio maana kwenye Qur'an huwezi kuona makosa mengi kama kwenye biblia ambayo ni ya wazi sana kwenye agano jipya,, najiuliza tu kwanini waislam hawana agano jipya inamaana wao hawakuwa na agano before?
Hivi unajua namna versions mbalimbali za Qur'an zilichomwa na ikabaki moja? ambayo nayo ina makosa kibao?
 

hamis77 Imeloa Che mittoga Naomba mjibu hizi hoja
 
Kwenye biblia jua hili vitabu vingi vimeachwa Biblia yenyewe inasema haya yaliyomo machache yameandikwa ili upate kuamini yapo meengi sana Yesu aliyafanya hata hayapo kwenye Biblia kwa hyo kuachwa vitu flani hivi ni sawa kwa kuwa hata kama vingekuwepo kama huamini ni huamini tu haviwezi kukubadilisha kama vilivyopo huviamini kuhusu kuachwa kwa vitabu hizo sababu ulizozitoa ni sahihi kabisa.
 
Twendeni ethiopia tutapata biblia orijino inayotumika

Anyway, ukweli ni kwamba biblia hii tunayotumia imefanyiwa marekebisho zaidi ya mara 1000.

Achana na yote, zingatia haya
1. Mpende BWANA MUNGU wako na kwa moyo wako wote na kwa nguvu zote na mali yako.

2. mpende jirani yako kama nafsi yako..epuka uadui

3. tuishini katika matendo mema na imani kali

4. epuka kumkashifu ROHO MTAKATIFU

5. Mwamini YESU KRISTO, ndiyo njia ya kweli.

6. waamini manabii wa MUNGU waliopita na waliopo, utafanikiwa

tuishi kwa amani maana hata sasa MUNGU anatenda.
 
Hivi unajua namna versions mbalimbali za Qur'an zilichomwa na ikabaki moja? ambayo nayo ina makosa kibao?
Hata alipofika mahali jua linapozama, aliona linazama katika chemchemi ya matope…”
Surah Al kahf 18:86
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…