SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Kuna mtu aliwahi kuniambia wazir mkuu fulani wa kibongo alikuwa ana tabia ya kulialia bungeni sasa kuna mwana akamtonya vuta kidogo toka ameanza kuvuta akawa fresh kabisa
 
Nipeni makazio ya herb maana kila nikishushia na alcohol inanitibua sana
 

Hiyo ulischeza na ubongo wako tu. Hata ukisema bila kuvuta unaweza fanya hivyo kwa kujiambia kama ulivyofanya hapo.
 
To be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.

Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
Hivi anakuwaje real kwa gay .maana huwezi mzalia hawezi kukutambulisha ndugu na wazazi mkitembea mnajifanya washkaji .nadhani gay wa tz mdate wazungu huku mtaishia kuliwa tu kwa starehe kisha wanaenda kwa mademu zao maana nao wanatoa jicho na wanamakario makubwa kuwazidi
 
Nakubaliana na wewe asilimia mia,bangi ni uelewa uliofichwa na umefichwa kwasababu ulizozitaja hapo juu,raha ya bangi ni pia na ww uwe smart kichwani then itumie ukiwa umetoka kwenye mizunguko yake then ipe nafasi uone inavotenda! ukiacha na kujisikia relaxed kitu kingine nilichopendea uo mmea ni jinsi unavofikiria vitu deeply,na jinsi unavokuwa sensitive kwenye sound and music unafurahia mziki deeply inside your soul no wonder wasanii wengi ni wavutaji, i had to try it and i changed my perspective about 🪴
 
Mi umenifurahisha hapa kwenye manabii pia unahisi wanavuta bangi na ukawataja Mosses na Jesus ...sasa hawa wenye Jesus wao wakikusikia unamvutisha bange ...sijui itakuwaje
 
Tatizo mnanunua bange mjini
Mie nafuata bange vijijini nanunua hata debe tatu naweka ndani mzigo pure ambao haujapigwa mix na madude
Watagwan
Man nimecheka sana debe tatu zote hizo, anyway kuna siku moja jamaa yangu alinipeleka maeneo ya Ununio kuna beach moja wanauza skanka. I guess that day ndo ilikuwa mara ya kwanza kupata taste ya skanka, ni [emoji91]

Nakubali kush nyingi wanauza mapusha wanachakachua mbaya ukipata kitu Og na kichwa iwe inaruhusu mambo ni safi.

NB Kichwa ikiwa na RAM ndogo usithubutu
 
Sasa hao madogo wanawehuka na bangi fake wakipata original itakuwaje maana bangi original Ni kali mno ukismoke msokoto mmoja tu huwezi ongeza
Sure kitu Og ni [emoji91]huwa nawatafakari mtu unakuta anavuta misokoto hadi minne au mitano. Ilhali ile yenyewe gauge yake ni moto mkubwa
 
Bangi sio biashara pekee inayoweza kuwatoa kwenye umasikini au kuongeza kipato kikubwa sana
Kweli kipato kitaongezeka ila sio kihivyo duniani
Vitu vingi sana walikuwa wanakataa duniani na sisi ni mkumbo tu tunabururuzwa maana mpaka leo baada ya kupata uhuru wa kuomba kwa mbinde hatuna lolote zaidi ya kurudi nyuma zaidi

Angalia magari leo wamekubali yawe yote ya umeme, je miaka ya nyuma uliwahi kusikia wanaponda petrol
Wamewalinda waarabu kwa kila aina ya majeshi yao wazungu kwa maslahi yao na leo Wanataka Magari ya umeme tu
Angalia sigara 2007 🇬🇧 walipiga marufuku uvutaji ndani ya majumba
Na sasa wanataka baada ya miaka kadhaa kuipiga marufuku kabisa na kuwa sigara haivutwi tena UK
Hawa wanaweza kama wamedhibiti kunywa pombe bila sigara ndani ya bar na mabasi na ndege na hata public places basi huko mbele watafuta kabisa

Hata bangi zinauzwa sana na Holland unasokota bar kiasi unasubiri chai
 
Upo sahihi music unasikia hadi tone ambazo hukuwahi kuzisikia apo kabla
 
Sure kitu Og ni [emoji91]huwa nawatafakari mtu unakuta anavuta misokoto hadi minne au mitano. Ilhali ile yenyewe gauge yake ni moto mkubwa
Tatizo pia kuna watu wanavuta hovyo na hawazingatii usafi wala chakula tu ii kitu Ni nzuri baada ya kumaliza shughuli zako jioni umeoga na uwe na uhakika wa kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…