Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Kuna mtu aliwahi kuniambia wazir mkuu fulani wa kibongo alikuwa ana tabia ya kulialia bungeni sasa kuna mwana akamtonya vuta kidogo toka ameanza kuvuta akawa fresh kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nipo zangu home sina mtonyo mara simu ikaita kuchek jamaa anatafuta kibarua wa kupiga kashamba kakd kama heka hiv mi nikamwambia mwamba ngoja tukalione afu zen nikupelekee watu wuuh had shamban nikalichek frexh nikamwambia mwamba andaa mazaga kesho madogo wanatimba hapo sina mchongo na kumchana nataka kulima mimi ni aibu coz nilikuwa mtu flan hv maarufu afu mlio ukakata mwana angeona nazingua bas huyo siku ya pili nikapitia zaga kwa mwana hapo no kumwambia mtu fika chaka saminisha tena heka dah nikasema nitaweza kweli kaa kidogo wazo likanijia tafuta bangi nikaenda nunua cha buku mbili nikavuta afu nikanuia hapa nimalize kulima hili shamba bila kuchoka aisee huwez amin nimelima toka asubuh mpaka saa nane robotatu ya shamba imekata bangi ikaanza kutoka kuja kuchek sikuamin siku ya pili nampigia mwamba shamba lako limeisha jamaa alipigwa na butwaa hv umelima pekee yako kweli au kuna mizimu imekusaidia wakuu bange kitu kingine kikawaida lile shamba ilibid liishe baada ya wiki moja unusu nkpg siku mbil
usimix herb na tobacco wala alcohol piga kitu dryNipeni makazio ya herb maana kila nikishushia na alcohol inanitibua sana
Kwahiyo unadhani ni uongo ? Uzuri hata kwenye post zake twitter ( X ) huwa anaweka waziAI itatumaliza!
Hivi anakuwaje real kwa gay .maana huwezi mzalia hawezi kukutambulisha ndugu na wazazi mkitembea mnajifanya washkaji .nadhani gay wa tz mdate wazungu huku mtaishia kuliwa tu kwa starehe kisha wanaenda kwa mademu zao maana nao wanatoa jicho na wanamakario makubwa kuwazidiTo be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.
Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
WatagwanTatizo mnanunua bange mjini
Mie nafuata bange vijijini nanunua hata debe tatu naweka ndani mzigo pure ambao haujapigwa mix na madude
Sure kitu Og ni [emoji91]huwa nawatafakari mtu unakuta anavuta misokoto hadi minne au mitano. Ilhali ile yenyewe gauge yake ni moto mkubwaSasa hao madogo wanawehuka na bangi fake wakipata original itakuwaje maana bangi original Ni kali mno ukismoke msokoto mmoja tu huwezi ongeza
Miaka ya nyuma sana jamaa alibadili shati kwa gunia la bangi kijijiniTatizo mnanunua bange mjini
Mie nafuata bange vijijini nanunua hata debe tatu naweka ndani mzigo pure ambao haujapigwa mix na madude
Upo sahihi music unasikia hadi tone ambazo hukuwahi kuzisikia apo kablaNakubaliana na wewe asilimia mia,bangi ni uelewa uliofichwa na umefichwa kwasababu ulizozitaja hapo juu,raha ya bangi ni pia na ww uwe smart kichwani then itumie ukiwa umetoka kwenye mizunguko yake then ipe nafasi uone inavotenda! ukiacha na kujisikia relaxed kitu kingine nilichopendea uo mmea ni jinsi unavofikiria vitu deeply,na jinsi unavokuwa sensitive kwenye sound and music unafurahia mziki deeply inside your soul no wonder wasanii wengi ni wavutaji, i had to try it and i changed my perspective about 🪴
Ila ukishishia kahawa hua inaenda poa sanausimix herb na tobacco wala alcohol piga kitu dry
Tatizo pia kuna watu wanavuta hovyo na hawazingatii usafi wala chakula tu ii kitu Ni nzuri baada ya kumaliza shughuli zako jioni umeoga na uwe na uhakika wa kulaSure kitu Og ni [emoji91]huwa nawatafakari mtu unakuta anavuta misokoto hadi minne au mitano. Ilhali ile yenyewe gauge yake ni moto mkubwa
Kama utapata hamu ya alcohol kunywa kiasi tu usizibuke hua inavuruga sana tena kunywa bia laini tuIla ukishishia kahawa hua inaenda poa sana