SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Hii Dunia watu wengi hawajastuka tu, walimwengu wamefichwa mengi sana sana sanaaa, jiulize tu....bangi inasaidia mapafu kufanya kazi vizuri na kuondoa uwezekano wa mtu kupata Kansa ya mapafu. then fegi inaruhusiwa na inakuletea Kansa na matatizo kibaoo. Hilo ni moja tu. Yapo mengi. ONYO: Sio kila mtu anaweza kuvuta.
 
"Bange bange imesababisha Mimi nisote" Alisikika jamaa mmoja akitoa usia
 
Nipo zangu sirari hapa napig kitu og kabla ya jamaa kuzivusha isibania....

kesho nageuka dar anayetaka aje MP nimletee kitu og...
 
Kila nikivuta taswila yawavuta bangi hapa mtaani kwetu yakuza mob mwananyamala vijana wanavuta bangi huku wamekaa juu ya makaburi iiiiiiiiihhh bhagoshaaa yayashiii hujanishawishi ila kwa mbali nimekuelewa hivi nikienda usukumani nitajaribu[emoji3][emoji3]
 
Alafu wala ndumu hua tunashobokewa na madem wakali sijui kwanini, mke wangu wa badae alinishobokea mwenyewe kipindi hiyo tupo chuo 2015-2018 sijui alinielewa kwa kipi. Tangu aanze kula kijiti naona kawa real zaidi
Weed smokers they are OG & real
 
Wale wamevuta kwa malengo ayo ndo maana wamepata ujasiri wa kufanya ivyo ndo maana ata kibaka uvuta kwa malengo ya kukaba na anapata nguvu na ujasiri wa kukaba ,
 
Yah ni mengi sana
 
Hii bangi usiitabirie asee ina upande ni mzuri na upande ni mbaya sio nzuri
Kuna baba mkwe wangu ni mvutaji mzuri wa bangi kabla hatujamgundua ukorofi wake unatokana na nini tulikuwa tunachanganyikiwa
Kuna wakati aliugua sana ikabidi aache pombe na sigara sababu alikuwa kwenye uangalizi maalum wa familia
Mpaka kapona akawa hata atoki toki home alikuwa mtulivu balaa
Mtu mzima akipona uwe,i mwambia ake nyumbani
Basi kabla baada ya kurudi kijiweni mzee si karudia njemu,au kaya we alianza ukorofi wake kipondo kwa mkewe kama kachanganyikia
Bangi mbaya asee
Mimi nina mtoto wangu akivuta bangi anakuwa muongeaji wa ovyo kuwai kutokea na siku akiwa ajavuta anakuwa ni mtu smart mpaka najifeel mwanangu bora asingegundua ganja
Nina mengi kuhusu bangi kiukweli siikubali
 
Po
Pole aisee uyo mkorofi anavuta kwa lengo la kuwazngua,bangi inasikiliza unavyoiambia na kutaka ikupeleke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…