Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Leo ndo nikajua Nyerere na Mandela walikuwa wanavuta bangi[emoji848] Dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti jamani!bila kusahau tajiri namba moja duniani Elon musk ni mtumiaji mzuri wa msubaView attachment 2267335
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanashindwa kutambua kuwa kila kitu kina kanuni zake..Mtu anavuta makushabu na ajala unadhani nini kitafuata?Po
Pole aisee uyo mkorofi anavuta kwa lengo la kuwazngua,bangi inasikiliza unavyoiambia na kutaka ikupeleke
Jamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangiNani aliekuambia Jamaica wameruhusu bangi?
FactKama ni kweli haya uliyosema Jamaika leo ingekuwa nchi ya mfano kimaendeleo na kifikra na wala hakuna mvumbuzi yoyote aliyetokea kwenye hii tasnia ya Bangi.
Uzi ufungwe maana tayari mleta mada kashapigwa kwenye mshono [emoji16]Kama ni kweli haya uliyosema Jamaika leo ingekuwa nchi ya mfano kimaendeleo na kifikra na wala hakuna mvumbuzi yoyote aliyetokea kwenye hii tasnia ya Bangi.
Nakuelewa unamaanisha nini.... 💪To be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.
Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
Watu wanashindwa kuelewa tumbaku ni hatari kuliko bangi, bangi jamaica ni kama sigara tu bongo, ilitakiwa iruhusiwe bangi na kupigwa marufuku sigaraJamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
Kwahyo na sisi wanafunzi ruksa mjaniKipindi nipo sec kuna ndugu wawili mtu na kakaake......Dogo mpenda dini haswa kila aendapo na biblia ijumaa jioni anafunika kitabu ni maombi hadi jumamosi,Kaka mtu yeye ni bange na biashara ya samaki haswa ...shule kwenda ni nadra sana na akienda ni saa nne wakati wa break anaondoka saa sita anapohisi njaa.....siku moja alitusimulia ratiba yake kuwa asubuhi tunapopanda class maana tulikuwa dom yeye huenda kwao maana palikuwa karibu na dom kijiji hicho hicho ,,huchukua baiskel yake na kuzama ziwani kutega samaki baadae huenda sokoni kuuza... kuonana ni pale tunaporudi dom ...usiku tulikuwa baada ya kula sisi husoma kidogo hadi saa nne usiku tunaenda kulala yeye hutumia muda huo kuamka usiku kuvuta mjani na kuanza kusongoka hadi alfajir na mapema.....,,,siku ikitokea tukaenda naye class teacher wa history hugeuka mwanafunzi alikuwa anasimulia hizo vita za ukoloni kama vile alikuwa ni chief enzi hizo....
Final results NECTA form 4.....Kaka mtu mla bange Division 1....Dogo zero iliyochangamka....
Onyo matumizi ya sigara ni hatari kwa afyaKwahyo na sisi wanafunzi ruksa mjani
Siku moja moja sio mbayaOnyo matumizi ya sigara ni hatari kwa afya