SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Po

Pole aisee uyo mkorofi anavuta kwa lengo la kuwazngua,bangi inasikiliza unavyoiambia na kutaka ikupeleke
Watu wanashindwa kutambua kuwa kila kitu kina kanuni zake..Mtu anavuta makushabu na ajala unadhani nini kitafuata?
 
To be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.

Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
Nakuelewa unamaanisha nini.... 💪
 
Jamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
Watu wanashindwa kuelewa tumbaku ni hatari kuliko bangi, bangi jamaica ni kama sigara tu bongo, ilitakiwa iruhusiwe bangi na kupigwa marufuku sigara
 
Mm hua nikivuta napata sana hamu ya kula msosi inshort nachangamka akili na usiku napata usingizi mzuri sana
 
Kipindi nipo sec kuna ndugu wawili mtu na kakaake......Dogo mpenda dini haswa kila aendapo na biblia ijumaa jioni anafunika kitabu ni maombi hadi jumamosi,Kaka mtu yeye ni bange na biashara ya samaki haswa ...shule kwenda ni nadra sana na akienda ni saa nne wakati wa break anaondoka saa sita anapohisi njaa.....siku moja alitusimulia ratiba yake kuwa asubuhi tunapopanda class maana tulikuwa dom yeye huenda kwao maana palikuwa karibu na dom kijiji hicho hicho ,,huchukua baiskel yake na kuzama ziwani kutega samaki baadae huenda sokoni kuuza... kuonana ni pale tunaporudi dom ...usiku tulikuwa baada ya kula sisi husoma kidogo hadi saa nne usiku tunaenda kulala yeye hutumia muda huo kuamka usiku kuvuta mjani na kuanza kusongoka hadi alfajir na mapema.....,,,siku ikitokea tukaenda naye class teacher wa history hugeuka mwanafunzi alikuwa anasimulia hizo vita za ukoloni kama vile alikuwa ni chief enzi hizo....
Final results NECTA form 4.....Kaka mtu mla bange Division 1....Dogo zero iliyochangamka....
Kwahyo na sisi wanafunzi ruksa mjani
 
Kwahyo na sisi wanafunzi ruksa mjani
Yes
Leo ndo nikajua Nyerere na Mandela walikuwa wanavuta bangi[emoji848] Dah!
FB_IMG_16558978664464482.jpg
 
Back
Top Bottom