SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Kila kitu kwa kipimo hata Vyakula vinaweza kugeuka kuwa Sumu kama havito tumiwa kwa mpangilio , Bangi ni ulevi unapo anza kuvuta hii kitu na ukapoteza umakini ni rahisi kuingia ktk unga.

Walau wenzetu wana jitahidi kuvuta kwa kipimo na mifumo ya Maisha yao ni tofauti na ya kwetu ,siwa shauri Vijana wenzangu kutumia Bangi..Tujiepushe kujivuruga zaidi ya haya Maisha tunayo pitia.
 
Bangi ina watu wake sio kila kichwa kinamudu bangi.
So ukiona inakushinda acha usijesema bangi mbaya kumbe kichwa chako ndo kibovu.
Usivute bangi kwa sababu unataka kupunguza stress au kama uhuni au usela itakuvuruga.
Vuta bangi kwa malengo maalumu usivute kama hauna kaz ya kufanya na ikikupeleka ovyo kwenye kaz zako achaaaaaa.
KUNA SHERIA ZA UVUTAJI BANGI ILI KULETA PRODUCTIVE RESULT KWA MTUMIAJI.
NASISITIZA IKIKUSHINDA ACHAAAAAAA.
 
Hii thread hii imeenda kinyume na matakwa ya kitanzania haina maadili ya kitanzania kwa kifupi hii thread imekiuka sheria za kitanzania, Tanzania inapinga matumizi ya bangi wewe unatetea matumizi na unaipigia promo bangi si ndio brother kaka
Wakati umestaafu hiko kikazi cha utumishi wa serikali ukiwa kijijini kwako mida ya jioni...
Huku pembeni unakiredio chako cha FM....
Utakuwa unasikia kipindi cha habari za biashara wakizungumzia mapato ya wakulima wa bangi.....
 
Jamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
Sio kweli,

Jamaica wametenga maeneo maalumu ya kuvuta bangi, ni kosa kuvuta bangi hadharani tofauti na maeneo tengefu

Na Hilo limefanyika mwaka 2015, kabla ya hapo ulikuwa ukikutwa unavuta unashtakiwa..

Uruguay ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu uvutaji wa bangi kwa nchi nzima walifanya hvyo mwaka 2013..

Sasa utaona hapo Uruguay walianza kuruhusu bangi kabla ya hata Jamaica..

Labda Jamaica imekuwa maarufu kwa uvutaji wa bangi kwa kuwepo na Imani ya rasta ambayo inawaumini wengi hvyo ikapelekea watu kuwa na Imani Jamaica wameruhusu bangi.
 
In popcaan voice, weed is my best friend.
Usiniambie kitu Mbele ya kitu cha malawi[emoji377][emoji377][emoji16].
 
Mkuu mimi bana nimekula skanka hii kitu inaleta ujasiri sana
 
Koh Koh Koh kho, kho!!!!


Isssssssss

Yaow yaow

Jeshiii
 
Ndani ya msitu mnene,nachambu nanyonga kisha navuta,

Ganja navuta,pamba nanyuka,sio mpk niombe kwanza ruksa

Ganja nyonga mwenyewe,usimuamini pusha,atakunyongea fafa akuambie cha arusha
R.I.P Langa
 
mimi nina mbegu za bangi kama kilo moja. naomba ushauri naweza kuzitumiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…