SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Umemalizia na picha ya mwamba akipiga maombi
 
Smoke weed eat pussy
Ukiwa maskan unapuliza kitu cha sativa hakikisha huvuti peke yako piga puff puff alaf pass kwenda left siku zote blunt hatuisambazi kwenda kulia zingatia hilo unavyo kosea masharti ndo jinsi unavyo kiuka miko unakuja kudata unasema kush mbaya kumbe hujui misingi yake
 
Bhangi ina hatari sana japo kiukweli mimi naona ni kitu poaa tuuu ila ina mtu na mtuuu...!! Mfano mbaya wa bhangi nenda Hospital za watu wenye Vichaa alafu soma zile File zao yani Patient History nyingi za vichaaa lazima Uikute Bhangii asilimia karibu 90 utakuta ana historia ya kuvuta bhangii labda kama ni wachache utakuta Social or Famiy problem cause na hao unakuta ni wanawake.. Wanaumew bhangii yani bhangi ina balaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Hii thread hii imeenda kinyume na matakwa ya kitanzania haina maadili ya kitanzania kwa kifupi hii thread imekiuka sheria za kitanzania, Tanzania inapinga matumizi ya bangi wewe unatetea matumizi na unaipigia promo bangi si ndio brother kaka
Unataka kuniambia MMEA una hatari kuliko mnavyopigia debe [emoji2380]
nikuambie tu Mchunguzi Fukara wengi ni watumiaji wa hiyo dawa iwe ni kuvuta km sigara,kujifusha,kutafuna au kusagwa/kuchujwa km juice. iwe ni hadharanj au kwa siri.
 
Hizo ni ideology tu.. ushaona mtu yeyote maaarufu amechanganyikiwa kwaajili ya bangi?..

Wengi wanachanganyikiwa kwa tabu za Dunia kama kufulia,tozo,kuachwa au stress nyingine sio bangi

Ingawa ni vizuri kuzingatia kwamba too much of anything is harmful
 
🤣🤣🤣 Daah
 
Acha kujidanganya mkuu,huyo ana hela,haimuumizi kabisa,wewe muige kama hujaanza kukimbia hovyo mitaani ukipiga kelele kuwa unafukuzwa wakati hakuna mtu...
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unapajua Yakuza mob , my home boys hao dahh kitambo sana , mitaa hiyo Kwa mama zackaria watu wamepinda Sana
 
Sindio hapo Sasa kasema mvuta bange ni extrovert huwezi kum control,, ndio huyo Mwanao Sasa alivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…