Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

Karibu sana mkuu
Kaka naomba utupe jina la forwader unaetumia, siku ngapi mzigo unafika bongo na kama kuna issue ya kodi TRA.
Wengi hawatupi hizi details, tunaishia kukwama tu.
Fanya hivyo utuokoe wengi.
 
Bwana mdogo uliyeweka andikk nahisi hujawahi fanya manunuzi ebay hzo bei za BID price ni kwa ajili ya kutoa/kucalculate SELLING PRICE ya bidhaa husika ..... hakuna iphone 6 ya 105k ebay mkuu tafuta mfano/specimen wenye BUY NOW PRICE tuone
 
Ulichokiandika si kweli bwana mdogo nimeshanunua simu mara nyingi tu ebay, ni kweli hiyo ni bei ya BID PRICE lakini naona hauelewi maana ya BID PRICE kama unaelewa maana ya BID PRICE basi nasikitika kuwa macho yako yameanza kufa ukiwa bado kijana mdogo, Angalia vizuri picha hiyo utaona kuwa hiyo BID hapo ni ended kwa price ya dollar 44 $ maana yake hiyo simu imenunuliwa kwa 44 $ ambayo ndiyo selling price, simu za 105k zipo nyingi tu.
 
Kaka vipi, mwongozo tafadhali.
Kujua namna bora ya kusafirisha kwa bei nafuu na pia kama Tra inahusika pindi mzigo ukifika, na wanakata vipi makato yao..
 
Akikujibu nitag please
Kaka vipi, mwongozo tafadhali.
Kujua namna bora ya kusafirisha kwa bei nafuu na pia kama Tra inahusika pindi mzigo ukifika, na wanakata vipi makato yao..
Akikujibu nitag please
 
Kwa wale tunaonunua bidhaa eBay tunaelewa Unachokizungumza Mkuu.
Usikatishwe tamaa, endelea kuelimisha wenye kutaka kuelewa.
 
Naomba connection ya agent
 
Hii uzi ni wa muda ila ngoja niweke tu maoni.
EBAY bidhaa zinazouzwa bei rahisi sana sana ni simu na FOKOFU ameelezea zaid simu zenye matatizo na kwa ebay kupata simu hzo ni rahisi tena ukiwa mjanja unapata kwa bei rahisi sana mm nilinunua Samsung s7 edge zilikuwa 6 kwa $158 baada ya kushinda kwenye Auction ila zingine zilikuwa na tatizo kdg ya network na nyingne ni crake ndogo sana na nilikuja kuziuza nikapata 50k kwa kila simu moja kama faida.
Ila ukitaka upate kwa bei rahisi lazma address uweke ya USA ndio zitakuja deals mpaka utashangaa tena zile zinazouzwa kwa mafungu kama wewe ni fundi ndio chap.
Now npo kwenye process za kutafuta agent wa korea kusini coz samsung korea ni cheap sana kulinganisha na nchi yoyote hile.
NB:
Ukitaka faida ya chap na unamtaji mdogo cheza na platform za kichina kama alibaba uchukue simu za bei ndogo zina wateja wengi sana na faida kama huna tamaa hukosi 40,000 ila kama unataka faida kubwa utapata mpaka 70,000 kwa simu moja na zinatoka chap sana.
 
Nadhani ubishi wa bei ulikwisha swali ni kwamba mnazifikishaje TZ? Hilo swali kila Moja wenu analikwepa. Wadau wameuliza lakini watu wako kimya.
 
Natamani ungeendelea kufafanua zaid mkuu
 
Mchina kaniuliza hivi👇

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
 
Nadhani ubishi wa bei ulikwisha swali ni kwamba mnazifikishaje TZ? Hilo swali kila Moja wenu analikwepa. Wadau wameuliza lakini watu wako kimya.
Kuhusu kufikisha dar mm natumia MYUS account wanakupa address ya USA alaf unaiandika kwenye address space Ebay then supplier atakuwa anakutumia humo ikiingia utaona kwenye account yako ndio utaanza safar mpya kuileta dar ila kama ndio unaanza biashara na mtaji sio rafiki nakushauri sana tumia makampun ya kichina
 
Mchina kaniuliza hivi[emoji116]

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
Jaribu kuongea na Shipping Agents waliopo Bongo kama silent Ocean, Shamwaa cargo watakupa address ya china then hyo address ndio unawapa wachina.
Mzigo ukifika kwenye warehouse yao watakusafirishia ikifika bongo watakwambia utaenda kulipia gharama na kuchukua mzigo wako, mambo ya kodi wewe haikuhusu gharama wanayokupa inajumlisha kila kitu.
 
Nahitaji vitu binafsi siyo vya biashara. MYUS hawa nawapata je?
 
Nahitaji vitu binafsi siyo vya biashara. MYUS hawa nawapata je?
Acha uvivu search mtandaon connections za wakina dada mnajua kuzisaka ila vitu vya maana mpaka muwekewe full link
 
Acha uvivu search mtandaon connections za wakina dada mnajua kuzisaka ila vitu vya maana mpaka muwekewe full link
Acha ukum* basi hukulazimishwa kujibu matako ya bb yako
 
Acha uvivu search mtandaon connections za wakina dada mnajua kuzisaka ila vitu vya maana mpaka muwekewe full link
Kama hujui ulikua huna sababu ya kumjibu hivi mdau unakausha kama mwanaume sio vimaneno kama binti, wabongo wachawi sana sasa ukimpa link utakufa au utapungukiwa nini,
 
Mbona hio pesa ni bila shipping au.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…