Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

Karibu sana mkuu
Kaka naomba utupe jina la forwader unaetumia, siku ngapi mzigo unafika bongo na kama kuna issue ya kodi TRA.
Wengi hawatupi hizi details, tunaishia kukwama tu.
Fanya hivyo utuokoe wengi.
 
Bwana mdogo uliyeweka andikk nahisi hujawahi fanya manunuzi ebay hzo bei za BID price ni kwa ajili ya kutoa/kucalculate SELLING PRICE ya bidhaa husika ..... hakuna iphone 6 ya 105k ebay mkuu tafuta mfano/specimen wenye BUY NOW PRICE tuone
 
Ulichokiandika si kweli bwana mdogo nimeshanunua simu mara nyingi tu ebay, ni kweli hiyo ni bei ya BID PRICE lakini naona hauelewi maana ya BID PRICE kama unaelewa maana ya BID PRICE basi nasikitika kuwa macho yako yameanza kufa ukiwa bado kijana mdogo, Angalia vizuri picha hiyo utaona kuwa hiyo BID hapo ni ended kwa price ya dollar 44 $ maana yake hiyo simu imenunuliwa kwa 44 $ ambayo ndiyo selling price, simu za 105k zipo nyingi tu.
 
Kaka vipi, mwongozo tafadhali.
Kujua namna bora ya kusafirisha kwa bei nafuu na pia kama Tra inahusika pindi mzigo ukifika, na wanakata vipi makato yao..
 
Akikujibu nitag please

Kwa wale tunaonunua bidhaa eBay tunaelewa Unachokizungumza Mkuu.
Usikatishwe tamaa, endelea kuelimisha wenye kutaka kuelewa.
 
Siyo lazima utumie forwading company kuna agent wanaotuma vitu moja kwa moja kutoka USA na UK tena kwa bei nafuu tu, i can prove it to you, pia usidanganye umma kuwa vitu vya marekani ni ghali kuliko huku bongo sababu hata vinavyouzwa huku bongo vinatoka hukohuko majuu.
Naomba connection ya agent
 
Ulichokiandika si kweli bwana mdogo nimeshanunua simu mara nyingi tu ebay, ni kweli hiyo ni bei ya BID PRICE lakini naona hauelewi maana ya BID PRICE kama unaelewa maana ya BID PRICE basi nasikitika kuwa macho yako yameanza kufa ukiwa bado kijana mdogo, Angalia vizuri picha hiyo utaona kuwa hiyo BID hapo ni ended kwa price ya dollar 44 $ maana yake hiyo simu imenunuliwa kwa 44 $ ambayo ndiyo selling price, simu za 105k zipo nyingi tu.
Hii uzi ni wa muda ila ngoja niweke tu maoni.
EBAY bidhaa zinazouzwa bei rahisi sana sana ni simu na FOKOFU ameelezea zaid simu zenye matatizo na kwa ebay kupata simu hzo ni rahisi tena ukiwa mjanja unapata kwa bei rahisi sana mm nilinunua Samsung s7 edge zilikuwa 6 kwa $158 baada ya kushinda kwenye Auction ila zingine zilikuwa na tatizo kdg ya network na nyingne ni crake ndogo sana na nilikuja kuziuza nikapata 50k kwa kila simu moja kama faida.
Ila ukitaka upate kwa bei rahisi lazma address uweke ya USA ndio zitakuja deals mpaka utashangaa tena zile zinazouzwa kwa mafungu kama wewe ni fundi ndio chap.
Now npo kwenye process za kutafuta agent wa korea kusini coz samsung korea ni cheap sana kulinganisha na nchi yoyote hile.
NB:
Ukitaka faida ya chap na unamtaji mdogo cheza na platform za kichina kama alibaba uchukue simu za bei ndogo zina wateja wengi sana na faida kama huna tamaa hukosi 40,000 ila kama unataka faida kubwa utapata mpaka 70,000 kwa simu moja na zinatoka chap sana.
 
Nadhani ubishi wa bei ulikwisha swali ni kwamba mnazifikishaje TZ? Hilo swali kila Moja wenu analikwepa. Wadau wameuliza lakini watu wako kimya.
 
Natamani ungeendelea kufafanua zaid mkuu
 
Mchina kaniuliza hivi👇

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
 
Nadhani ubishi wa bei ulikwisha swali ni kwamba mnazifikishaje TZ? Hilo swali kila Moja wenu analikwepa. Wadau wameuliza lakini watu wako kimya.
Kuhusu kufikisha dar mm natumia MYUS account wanakupa address ya USA alaf unaiandika kwenye address space Ebay then supplier atakuwa anakutumia humo ikiingia utaona kwenye account yako ndio utaanza safar mpya kuileta dar ila kama ndio unaanza biashara na mtaji sio rafiki nakushauri sana tumia makampun ya kichina
 
Mchina kaniuliza hivi[emoji116]

Can I know your supplier's port?

naomba kujua pale bandarini Supplier port ndo nani?
Jaribu kuongea na Shipping Agents waliopo Bongo kama silent Ocean, Shamwaa cargo watakupa address ya china then hyo address ndio unawapa wachina.
Mzigo ukifika kwenye warehouse yao watakusafirishia ikifika bongo watakwambia utaenda kulipia gharama na kuchukua mzigo wako, mambo ya kodi wewe haikuhusu gharama wanayokupa inajumlisha kila kitu.
 
Kuhusu kufikisha dar mm natumia MYUS account wanakupa address ya USA alaf unaiandika kwenye address space Ebay then supplier atakuwa anakutumia humo ikiingia utaona kwenye account yako ndio utaanza safar mpya kuileta dar ila kama ndio unaanza biashara na mtaji sio rafiki nakushauri sana tumia makampun ya kichina
Nahitaji vitu binafsi siyo vya biashara. MYUS hawa nawapata je?
 
Acha uvivu search mtandaon connections za wakina dada mnajua kuzisaka ila vitu vya maana mpaka muwekewe full link
Kama hujui ulikua huna sababu ya kumjibu hivi mdau unakausha kama mwanaume sio vimaneno kama binti, wabongo wachawi sana sasa ukimpa link utakufa au utapungukiwa nini,
 
SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA.

Ebay?

Ndiyo ni Ebay!!!

Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu

kinaitwa EBAY katika makala hii nitakupa siri

iliyojificha kwenye mtandao wa EBAY na

nitakufundisha jinsi ya kutumia EBAY kutengeneza

pesa na jinsi gani unaweza ukapata bidhaa kama

simu na nyinginezo za matumizi binafsi kwa bei

rahisi

Ebay ni nini?

Ebay ni mtandao wa kimarekani [emoji1258] unaokutanisha

wauzaji na wanunuzi wa bidhaa mbalimbali kama

simu,laptop,saa,nguo,viatu na n.k

Ni mtandao ambao unamuwezesha mnunuzi kuweza

kununua bidhaa mtandaoni bila ya kuonana ana kwa

ana na muuzaji.

[emoji383]JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA [emoji383]

1. kwa kununua kwa bei ndogo kutoka USA kisha

kuja kuuza kwa bei kubwa huku bongo.

Katika mtandao wa EBAY unapata bidhaa kama simu

kwa bei rahisi sana na unachofanya ni kununua

kutoka ebay na kuja kuziuza huku bongo kama

unavyoona hapo kwenye picha IPHONE 6 PLAIN

unapata kwa 105,000/= so unaweza kununua kwa

105,000 na kuja kuziuza kwa 180,000/= mpaka

200,000/= hapo unatengeneza faida ya kati ya

75,000/= mpaka 95,000/=

2. HII INA FAIDA ZAIDI ( kwa kununua simu mbovu na kuzitengeneza) INAHITAJI MZOEFU

Hii ni njia ninayoitumia kutengeneza faida kubwa

huwa nanunua simu zenye shida ndogo kama

zilizopasuka vioo na shida nyingine ndogo ndogo

ambazo zinatengenezeka kama mnavyojua wenzetu

waliopo majuu huwa hawatumii kitu mpaka kichoke

sana na wengi wao huwa hawamini kupeleka simu

kwa fundi mfano simu ikidondoka na kuweka

kampasuko kidogo kwa mzungu hiyo haifai tena

huwa wanaziuza kupitia mtandao wa EBAY na huwa

zinauzwa kwa bei ndogo sana mfano angalia picha

za IPHONE 8 ambayo naweza kununua kwa 200,000

kama mnavyoona kwenye picha namba 3 na 4 na

nikairekebisha kioo ambacho bei haizidi 40,000

mimi nakuja kuiuza kuanzia 300,000/= mpaka

400,000/= na kwa jinsi inavyoonekana kwenye picha

naweza nikaiuza hivyo hivyo bila ya kuirekebisha

maana crack yake ni ndogo sana.

[emoji3591] NIMETUMIA MFANO WA SIMU MAANA NI RAHISI

ILA EBAY UNAWEZA UKANUNUA CHOCHOTE VITU

KAMA LAPTOP, SAA,NGUO, PLAYSTATION,

PRINTER,TV N.K

[emoji3591] PIA NIMETUMIA EBAY MAANA NI MTANDAO

RAHISI KUTUMIA LAKINI UNAWEZA UKATUMIA

MITANDAO KAMA ALIEXPRESS, AMAZON, BESTBUY,

WALMART, SWAPPA, ALIBABA NA N.K

[emoji3591] NAJUA BADO UNA MASWALI MENGI KICHWANI

1.Nitawezaje kufanya malipo?

2. Nitawezaje kuisafirisha kutoka marekani?

3. Siwezi kutapeliwa?

4. Mzigo unachukua siku ngapi kufika?

5. Jinsi ya kujaza anuani yangu?

6. Muuzaji hatumi mzigo bongo?

7. Bei ya kusafirisha kubwa?

SIWEZI KUANDIKA KILA KITU HUMU KWA MSAADA

ZAIDI UNAWEZA UKAKOMENTI, UKANICHEKI INBOX

NITAKUFUNDISHA STEP BY STEP PIA USISAHAU

KULIKE PAGE YANGU ILI USIKOSE MAKALA NYINGI

ZAIDI

KWA MAWASILIANO ZAIDI

[emoji338] 0777821974 (call & whatsapp)m
Mbona hio pesa ni bila shipping au.?
 
Back
Top Bottom