Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

Kwanza ebay vitu ni ghali sana

Pili vitu vingi havitumwi Africa hadi uwe na shipping forward agents wa marekani

Pia vinachukuaga mda mrefu kufika bongo compare to china to tz

Pia shipping cost ni ghali mnoo

Hapo bado kodi kibongobongo
Kodi kinongo bongo Huwa wanakata asilimia ngap mkuu
 
Mkuu Einsten mimi nikushukuru sana kwa kutoa maelezo mazuri uliyoyaongea nakuunga mkono kwa asilimia 100% shida ninayoiyona baadhi yetu tuna mawazo hasi sana nilitoa huu uzi kwa lengo la kusaidia wanajamvi lakn baadhi wamekuwa wakitoa mawazo hasi bila ya kufanya utafiti na wengi wetu tunamawazo ya kutapeliwa mm sijaomba hela ya mtu nimetoa uzoefu wangu tu, hv mtu anakutapeli vipi EBAY wakati ni mtandao upo wordwide ni wewe tu kuingia na kufanya utafiti. Shida yetu ni wavivu kufuatilia mambo ila tunaleta ubishi ndo maana nikautelekeza huu uzi.

NB:kama kitu haukifahamu fanya utafiti au uliza kwanza
Pia kama unaona haiwezekani kwako usidhani kwa wengine haiwezekani.
 
Tunashukuru Kwa Uzi huu
 
Mkuuu ufafanuzi please nimejisajiri ila wanahitaji fund
Lazima udeposit 5$ ili kuactivate account yako lakini haitakatwa utaikuta kwenye account yako, i mean utaitumia wakat wa kusafirisha mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…