Hii uzi ni wa muda ila ngoja niweke tu maoni.
EBAY bidhaa zinazouzwa bei rahisi sana sana ni simu na
FOKOFU ameelezea zaid simu zenye matatizo na kwa ebay kupata simu hzo ni rahisi tena ukiwa mjanja unapata kwa bei rahisi sana mm nilinunua Samsung s7 edge zilikuwa 6 kwa $158 baada ya kushinda kwenye Auction ila zingine zilikuwa na tatizo kdg ya network na nyingne ni crake ndogo sana na nilikuja kuziuza nikapata 50k kwa kila simu moja kama faida.
Ila ukitaka upate kwa bei rahisi lazma address uweke ya USA ndio zitakuja deals mpaka utashangaa tena zile zinazouzwa kwa mafungu kama wewe ni fundi ndio chap.
Now npo kwenye process za kutafuta agent wa korea kusini coz samsung korea ni cheap sana kulinganisha na nchi yoyote hile.
NB:
Ukitaka faida ya chap na unamtaji mdogo cheza na platform za kichina kama alibaba uchukue simu za bei ndogo zina wateja wengi sana na faida kama huna tamaa hukosi 40,000 ila kama unataka faida kubwa utapata mpaka 70,000 kwa simu moja na zinatoka chap sana.