Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.
Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa kila jambo haijalishi ni jema au ovu, zuri au baya. Tumeshuhudia spika wa bunge wakati ule bwana ndugai akijiuzulu kisa tu alikemea mikopo ya serikali ya kinyonyaji.
Tumeshuhudia bunge likipitisha mikataba mibovu ya aibu kwa kupiga makofi na meza. Bunge hili hili limeshirikiana na siri kali kuuza bandari na mbuga za wanyama kwa waarabu, na sasa tutashuhudia bunge hili hili likienda kupitisha katiba mpya ya kifalme kabla ya uchaguzi ujao 2030 maana hakuna wa kuwapinga upinzani umezikwa rasmi.