Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

IMG-20250611-WA0033.jpg
 
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.

Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa kila jambo haijalishi ni jema au ovu, zuri au baya. Tumeshuhudia spika wa bunge wakati ule bwana ndugai akijiuzulu kisa tu alikemea mikopo ya serikali ya kinyonyaji.

Tumeshuhudia bunge likipitisha mikataba mibovu ya aibu kwa kupiga makofi na meza. Bunge hili hili limeshirikiana na siri kali kuuza bandari na mbuga za wanyama kwa waarabu, na sasa tutashuhudia bunge hili hili likienda kupitisha katiba mpya ya kifalme kabla ya uchaguzi ujao 2030 maana hakuna wa kuwapinga upinzani umezikwa rasmi.
Kifo cha CCM Kiko pale pale Wala wasijisumbue kwa ujinga huu wanaoufanya na wa kitoto kabisa anguko liko pale pale.
 
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.

Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa kila jambo haijalishi ni jema au ovu, zuri au baya. Tumeshuhudia spika wa bunge wakati ule bwana ndugai akijiuzulu kisa tu alikemea mikopo ya serikali ya kinyonyaji.

Tumeshuhudia bunge likipitisha mikataba mibovu ya aibu kwa kupiga makofi na meza. Bunge hili hili limeshirikiana na siri kali kuuza bandari na mbuga za wanyama kwa waarabu, na sasa tutashuhudia bunge hili hili likienda kupitisha katiba mpya ya kifalme kabla ya uchaguzi ujao 2030 maana hakuna wa kuwapinga upinzani umezikwa rasmi.

Tunavuna matunda aliyoyapanda Baba yenu wa Taifa Laanatullahi Nyerere
 
Hata chadema wakiwemo bungeni, kama ni wachache kuliko ccm hawawezi kuzuia chochote.


Katiba bora itakuja kupatikana baada ya kuchapana na kuuana.

Watanganyika mngalijua umuhimu wa kuwaunga mkono wa Zanzibari kudai nchi yao , mngalipata nafasi ya kung`atuka kutoka kwenye hili jinamizi la CCM , bila hivyo mtapata taabu sana kama tunayoipata sisi Wazanzibar kwenye huu uvamizi wa CCM
 
Mimi mwenyew nilishaiona hyo Ccm kuiweka katiba mpya kwenye ilan sio kwamba wataandaa katiba itakayompa mamlaka mwananchi badala yake wanaenda kutengeneza katiba itakayoendelea kuwabeba ili waendelee kutukuzwa wao tu
Kwahiyo sasa kwa watu wapenda haki huu ni muda muhafaka wa kuhakikisha Ccm na dola yake hwapenyezi ajenda mbovu zenye kulinda madaraka yao na vyeo vyao
Unawazuia vipi, bunge lao, tume ya uchaguxi yso, mahakama zao, majeshi yote yao, rais wao na serikali yao.

Wanafanya watakacho, hakuna wa kuwazuia.
 
Back
Top Bottom