Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Nani alikwambia ccm watakufa?Watahangaika sana hawa,ila kifo chao kipo palepale
Chama kinaenda kufa hicho huhitaji kuambiwa,wanajaribu kila mbinu kujiokoa ikiwepo kufuta chama makini cha upinzani lakini haitasaidiaNani alikwambia ccm watakufa?
Ngona akusikie yule mwashamba cjuiChama kinaenda kufa hicho huhitaji kuambiwa,wanajaribu kila mbinu kujiokoa ikiwepo kufuta chama makini cha upinzani lakini haitasaidia
Huyo ni chawa tu,analipwa ili kububujika machozi humu kila siku,hata yeye CCM haipendi ila afanyeje sasa inabidi aleNgona akusikie yule mwashamba cjui
Halafu CCM wakawahonga Chadema wajifanye wana Kampeni ya No Reform, No Election ili wasigombee wala kusaini kanuni za Uchaguzi Mkuu ili isiwe na upinzani wowote kwenye Uchaguzi Mkuu!Hili mbona kilijulikana mapema sana. Ndo mana niliwahi andika huu uzi hapa chini👇
Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.
Unatengeneza taharuki isiyokuwa na uhalisia zaidi ya kelele za mitandaoni hasa kutoka kwenu ninyi mnaotumikishwa na wazungu huko nje ya nchi..... Huku mitaani kwetu watu hawana hizo taharuki zenu FEKI....katiba iliyopo inawatosha vyema tu ,si sisi wananchi wala hao askari wetu wanaoelewa uzushi...www.jamiiforums.com
Pia nilieleza kwa uchache wake kwenye uzi huu;
Zijue sababu za kwanini CCM hawawezi kukubali KATIBA MPYA inayoweka nguvu kwenye mifumo kuliko Wanasiasa.
1. Katiba hii imewapa nguvu Wanasiasa na Wateuliwa wao kuamua chochote bila kuhojiwa na kuwajibika kwa yeyote. Hili linawawezesha CCM kutumia fedha za Umma kwa shughuli zao bila kuhojiwa na kuambiwa lolote na yeyote. Leo hii kwenye Halmashauri zetu Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza pewa amri na...www.jamiiforums.com
Naona sasa hivi kwenye magroup ambayo wanaccm ndio maAdmin, ukiandika neno NRNE wanakuleftisha!Halafu CCM wakawahonga Chadema wajifanye wana Kampeni ya No Reform, No Election ili wasigombee wala kusaini kanuni za Uchaguzi Mkuu ili isiwe na upinzani wowote kwenye Uchaguzi Mkuu!
Wawe wanapita airport vip na wenzi waoMimi mwenyew nilishaiona hyo Ccm kuiweka katiba mpya kwenye ilan sio kwamba wataandaa katiba itakayompa mamlaka mwananchi badala yake wanaenda kutengeneza katiba itakayoendelea kuwabeba ili waendelee kutukuzwa wao tu
Kwahiyo sasa kwa watu wapenda haki huu ni muda muhafaka wa kuhakikisha Ccm na dola yake hwapenyezi ajenda mbovu zenye kulinda madaraka yao na vyeo vyao
Bora tu iwe hivyo....labda wataridhikaWasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.
Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa kila jambo haijalishi ni jema au ovu, zuri au baya. Tumeshuhudia spika wa bunge wakati ule bwana ndugai akijiuzulu kisa tu alikemea mikopo ya serikali ya kinyonyaji.
Tumeshuhudia bunge likipitisha mikataba mibovu ya aibu kwa kupiga makofi na meza. Bunge hili hili limeshirikiana na siri kali kuuza bandari na mbuga za wanyama kwa waarabu, na sasa tutashuhudia bunge hili hili likienda kupitisha katiba mpya ya kifalme kabla ya uchaguzi ujao 2030 maana hakuna wa kuwapinga upinzani umezikwa rasmi.
Uchaguzi ni km kutumia kodi vibaya, wangeufuta tu mpaka 2030Bora tu iwe hivyo....labda wataridhika
Katika hali ya kushangaza kabisa... Eti Bunge liliandaa na kumkabidhi rais TUZO! Ndani ya kipindi ambacho CAG ameibua madudu mengi kupita vipindi vingine vyote!Wasalaam.