Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

Kifo cha CCM Kiko pale pale Wala wasijisumbue kwa ujinga huu wanaoufanya na wa kitoto kabisa anguko liko pale pale.
 

Tunavuna matunda aliyoyapanda Baba yenu wa Taifa Laanatullahi Nyerere
 
Hata chadema wakiwemo bungeni, kama ni wachache kuliko ccm hawawezi kuzuia chochote.


Katiba bora itakuja kupatikana baada ya kuchapana na kuuana.

Watanganyika mngalijua umuhimu wa kuwaunga mkono wa Zanzibari kudai nchi yao , mngalipata nafasi ya kung`atuka kutoka kwenye hili jinamizi la CCM , bila hivyo mtapata taabu sana kama tunayoipata sisi Wazanzibar kwenye huu uvamizi wa CCM
 
Unawazuia vipi, bunge lao, tume ya uchaguxi yso, mahakama zao, majeshi yote yao, rais wao na serikali yao.

Wanafanya watakacho, hakuna wa kuwazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…