Tetesi: Siri imefichuka CUF

Tetesi: Siri imefichuka CUF

So
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake CUF imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama hicho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa CUF mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla CHADEMA wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ana nguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama hicho

Ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama hicho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama hicho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa CUF bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti CUF na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa CHADEMA.

Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia CHADEMA baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama hicho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya CUF.
Source?
 
Porojo za vijiweni!!
 
Mradi mwingine wa CCM uliofeli. Hongera kwa kazi nzuri ya propaganda mfu.
 
Mimi nahisi ufike Mda Admin afanye kazi ya kupima watu akili kabla hawajaruhusiwa kua Member, maana kuna watu kupoteza wenzao mda tuu kwa kusoma umbumbu
 
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake CUF imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama hicho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa CUF mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla CHADEMA wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ana nguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama hicho

Ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama hicho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama hicho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa CUF bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti CUF na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa CHADEMA.

Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia CHADEMA baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama hicho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya CUF.
Huyu lipumba kitu cha kwanza akirudi Cuf ni kufunja ukawa.maana sioni sababu inayomrudisha .kwani Sababu zilizomtoa bado zipo
 
Back
Top Bottom