Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

Sasa Kama yanga imemaliza msimu mzima bila kufungwa kwa kuviomba vilabu vyote viwalegezee na vicheze nyoro nyoro ikiwemo simba, mi sioni ajabu yoyote kuiomba ata Trans camp pia ifungwe!!! Na msimu ujao pia utakuwa ni mwendo huo huo wa kuviomba vilabu visikaze kumbe ni biashara inayolipa kama inawapa makombe kila msimu ni safi Sana hiyo isiachwe
 
Kwa hiyo anataka kusema hata Simba walipewa hela wakaachia jambo?
 
Yanga haitaji kumuhonga mtu Ili aje kuitazama

kwa rekodi tu msimu jana ikiwa mbovu iliongoza kwa kutazamwa uwanjani pia msimu huu sasa izi stori za kibwege bwege unatoa wap?

Ukitazama kwA jicho la wivu utaishia jifariji kuwa jezi mbovu ila toka moyoni una kili ni jezi kali mno

Subiri ufunguzi wa ligi tupige nyau goli za kutosha uje na stori za walihujumu mechi
 
Nashauri serikali ifanye mabadiliko haraka saana kwenye Yale maswali yatakayoulizwa kwenye dodoso kipengele cha wagonjwa wa akili kiwepo!,,

Wewe jamaa tulia kwenu uhesabiwe ili taifa liwaweke kwenye mikakati watu kama nyinyi.

Tafadhali kama mlezi wahuyu jamaa anapitia hii post ahakikishe anahesabiwa huyu maana kwa akili yake atasema yeye hayupo kwenye hilo kundi.
 
Una matatizo wewe si bure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakomesheeeee!!!!

Charismatic fella. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Gentamycine ukimsikia ndio unajua Mungu yupo bana, coz kamuumba tofauti na sisi binadamu
 
Gentamycine ukimsikia ndio unajua Mungu yupo bana, coz kamuumba tofauti na sisi binadamu
 
Ule mchi wa Feisal mechi ya FA ulihongwa shilingi ngapi?
 

Popoma unazingua sana hata watu wa chuo cha SAUT watakuona unazingua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwa wiki Huwa unaandikaga nyuzi ngapi kuizingumzia Yanga Mkuu..?
 
Kiranga Mshana Jr kaka zangu wakubwa hebu nisaidieni kujua aina ya ugonjwa anao umwa huyu mtoa mada.

Amezaliwa Bunda, amekulia Bunda anaishi Bunda. Dar hajawahi kufika ila anapost uzi akijifanya anaishi Dar. We jamaa una tatizo kubwa sana la afya ya akili. Something is missing in ur head.

Okay back to you mtoka mara, tutajie majina ya wachezaji watatu wa Transit Camp.

2. Makao makuu ya Transit Camp yapo mtaa gani?

Unahitaji maombi ya nguvu sana wewe kaka/dada
 
Unaambia hao transit camp msimu ulioisha hawajapoteza hata mechi moja halafu walifika final CAF champion's league ila utopolo ndo maana yule zeru zeru anaona aibu hata kupost huo utumbo maana kuna tofauti kubwa sana kati ya anayecheza na dereva taxi na watu wa camp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…