Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo?

Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote.

Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha Transit Camp Jana hawakuwepo na wanatakiwa kuanza Pre Season yao Wiki ijayo kwa mujibu wa Mchezaji Mwenzao Mmoja Mwandamizi kabisa.

Na hata Mechi yenu Jezi Mbovu na Kituko FC na Wao jana hawakuitaka ila mliwabembeleza wakubali hivyo hivyo tu Kucheza nanyi huku mkiwopa na Pesa kidogo za Kuwalegeza zaidi ndipo Wakakubali na kuanza kuitana na walipoona hawatoshi wakawachomekea na Vijana wengine wa Kawe na Kutimia Wachezaji 11 na Kucheza.

Na kituko zaidi kulikuwa ni Mmoja wa Viongozi Waandamizi kabisa wa Jezi Mbovu na Kituko FC bila hata Aibu au Kujishtukia akawaambia Wachezaji wa Transit Camp FC kuwa wasikaze sana ( Wasicheze Kijeshi ) na wacheze tu Nyoro Nyoro ( Laini Laini ) ili Wawafunge Magoli mengi na kwakuwa kwa sasa 'Star' Wao ni Bi. Aziza Kii na wanataka Wawaaminishe Mashabiki kuwa hawakulamba 'Garasa' na Wajazane 'Watu Day' na Wapige Hela ya maana basi wahakikishe nae anafunga Goli.

Kaeni tayari Kesho Jumapili au Jumatatu na Jumatano Wazee wa Ushindi wa Michongo Jezi Mbovu na Kituko FC watacheza tena Mechi zao Mbili kabla wa Siku yao ya 'Watu Day' na kama Kawaida hizo Timu zitaombwa ( kwa Ahadi ya Pesa ) zilegeze na zipigwe ( zifungwe ) Magoli mengi ili kuzidisha Ushawishi na Hamasa kusudi tarehe 6 August, 2022 kwa Mkapa kujae ndani mpaka nje, Uwanja wa Uhuru na Mitaa yote ya Temeke.

Na tarehe 13 August, 2022 mtakoma.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Binadamu tupo wengi na mambo ni mengi
Nasubiri waje Kukanusha niwaumbue zaidi Wapuuzi hawa. Na nawaomba hivi hivi wanavyopenda Kuhonga Timu na Wachezaji wakicheza Mechi zao za 'Preliminaries' za CAFCL wafanye hivi hivi waone kama hawakupigwa Goli 9 Kwa Mkapa na Goli 17 Ugenini na Kurejea kuendelea na NBC Premier League wanayoimudu pekee kwa Kuwahonga Marefa na Wachezaji wenye Mahaba nao Kiasili.
 
Nasikitika sana mkongwe Kama wewe kuzungumza porojo bila uthibitisho
 
Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo?

Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote.

Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha Transit Camp Jana hawakuwepo na wanatakiwa kuanza Pre Season yao Wiki ijayo kwa mujibu wa Mchezaji Mwenzao Mmoja Mwandamizi kabisa.

Na hata Mechi yenu Jezi Mbovu na Kituko FC na Wao jana hawakuitaka ila mliwabembeleza wakubali hivyo hivyo tu Kucheza nanyi huku mkiwopa na Pesa kidogo za Kuwalegeza zaidi ndipo Wakakubali na kuanza kuitana na walipoona hawatoshi wakawachomekea na Vijana wengine wa Kawe na Kutimia Wachezaji 11 na Kucheza.

Na kituko zaidi kulikuwa ni Mmoja wa Viongozi Waandamizi kabisa wa Jezi Mbovu na Kituko FC bila hata Aibu au Kujishtukia akawaambia Wachezaji wa Transit Camp FC kuwa wasikaze sana ( Wasicheze Kijeshi ) na wacheze tu Nyoro Nyoro ( Laini Laini ) ili Wawafunge Magoli mengi na kwakuwa kwa sasa 'Star' Wao ni Bi. Aziza Kii na wanataka Wawaaminishe Mashabiki kuwa hawakulamba 'Garasa' na Wajazane 'Watu Day' na Wapige Hela ya maana basi wahakikishe nae anafunga Goli.

Kaeni tayari Kesho Jumapili au Jumatatu na Jumatano Wazee wa Ushindi wa Michongo Jezi Mbovu na Kituko FC watacheza tena Mechi zao Mbili kabla wa Siku yao ya 'Watu Day' na kama Kawaida hizo Timu zitaombwa ( kwa Ahadi ya Pesa ) zilegeze na zipigwe ( zifungwe ) Magoli mengi ili kuzidisha Ushawishi na Hamasa kusudi tarehe 6 August, 2022 kwa Mkapa kujae ndani mpaka nje, Uwanja wa Uhuru na Mitaa yote ya Temeke.

Na tarehe 13 August, 2022 mtakoma.
Hivi jana ulikumbuka kychamba ulivyomaliza kunya?
 
GENTAMCYCINE.....mwenye degree ya mchongo ya sautiiiii college [emoji23][emoji23]
 
Yaani kinyeo fc aka we ...kundu la msimbazi hamlali kuwasema mabigwa wa Tanzania .

Endelleni kubweka bwana wenu atawalipa
 
Nasubiri waje Kukanusha niwaumbue zaidi Wapuuzi hawa. Na nawaomba hivi hivi wanavyopenda Kuhonga Timu na Wachezaji wakicheza Mechi zao za 'Preliminaries' za CAFCL wafanye hivi hivi waone kama hawakupigwa Goli 9 Kwa Mkapa na Goli 17 Ugenini na Kurejea kuendelea na NBC Premier League wanayoimudu pekee kwa Kuwahonga Marefa na Wachezaji wenye Mahaba nao Kiasili.
Kama hao hao we..kundu wa msimbazi tuliwahonga FA tukawanyandua na bilioni zao 20 za mo sembuse na wengine hahaha
 
Back
Top Bottom