Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

US anaweka hela hatujazungumzia kupigana, Marekani hawezi hangaika kwenda kupigana na walevi na wafungwa waliobebwa kutoka Vladivostok uko na Yekaterinburg. Mpaka sasa Ukraine imepokea $18+ billion, Afghanistan pekee bajeti yake kwa ujumla ilikuwa trilioni mbili na hawakuwa na nia yoyote ya maana sawa na playground tu. Sasa unaitishia Marekani kwa hela ya maandazi kama hiyo, yani Urusi yenye GDP level za Spain na inazidiwa na South Korea kiuchumi ndio utarajie wataifirisi Marekani kisa Ukraine?
 
Afghanistan peke yake US walitumia dola Trillion 2. Kama wakitaka na wakiona kuna sababu za kuendea na hii vita hata miaka 10 wataendelea nayo.

& what do they profited out of it!?
 

Jamaa katahadharisha kwamba "hakutakuwa na mtu atakayekaa kando ya madhara yatakayotokana na vita hivyo"
 
Kwani hicho chuma kinapigana na NATO ?
 
Mkuu kwani hiyo gesi Russia anawapa bure au wananunua? Ni suala la muda tu watu wapate alternative uone Russia hiyo gesi yake atapeleka wapi.

Back to the topic hata Putin kashaomba mazungumzo mara kadhaa na Zelensky kamkatalia.
ZRussia wanasema mazungumzo yaihusishe Wahington kwani ndio waamuzi wa Ukraine na sio yule comedian ombaomba
 
Wana Boda na Russian federation kama ilivyo Ukrayina, kama point yako ni kwa Marekani kuweka base.
Ukraine wanaonesha wazi kuikubalia marekani kuweka base ili kulipiza visasi
Finland hawana sababu hiyo
Zelensky ni unstable maniac ambapo marekani wameona wanaweza kumtumia
Finland can not take that risk
 
Mkuu umeelewa content?

Tunazungumzia gharama na sio matokeo ya vita. Kwa kumaanisha kwamba hii vita ikienda hata kwa miaka 10 mbele si ajabu hawa US wakaendelea ku-pump hela vitani maana sio jambo jipya wala gumu kwao!!!
Inategemea bunge la chama gani linatawala
Sio rahisi kama unavyodhani..
 
Nenda kasome why gdp/is not an indicator of wellbeing
 
Sasa huu utakua ni Upumbavu KWa USA,
 

Marekani hatupi hela yakebpasipo na faida. Kwa Ukraine hakuna tangible benefit to USA. Though wanasema mtoto wa Biden ana visima gas/mafuta huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…