Jamaa anawasmbaratisha mamluki kama utani. Biden anaogopa pia kitimoto kwamba kwa nini ulienda kupigana kwenye vita ambayo huwezi kuishindaa!!???
Atajibu hivi; namnukuu Biden mwenyewe;
''Mimi km Rais mliye mchagua kwa hiari yenu nina hali na sababu kubwa km Rais wa America kwenda kutetea Masrahi ya USA kwa hari na mori wa hali ya juu bila kusita sita!
haya yanajidhihirisha wazi km nilivo wahi sema hapo awali kuwa nitaiwela Marekani mbele na watu wake walionipa dhamana hii adhimu!! naamini katika ushindi tu! na wala sijawahi kufikiria USA kushindwa kwa hali yeyote iwayo!
kujipanga upya ktka Medani za kivita siyo kushindwa vita Bali ni mbinu ya ki-Vita ya kumchanganya adui, ninacho taka/waomba kutoka kwenu ndugu zanguni mniongezee muda zaidi
kwa sababu ni imani yangu isiyo tetereka kuwa nilipofikia ni pazuri kivita na penye matumaini mno!! endapo mtashindwa kunichagua kwa kipindi hiki cha mpito mtafanya kosa kubwa sana,
ktk Medani za ulinzi na usalama wa nchi yetu hii kubwa Duniani! ivo, kumchaguo mtu mwingine atimize lengo la asicho kijua basi eleweni kabisa kwamba ..
uwezekano wa sisi Americans kama Taifa!! kushindwa vibaya kwa mara ya kwanza ktk Historia ya Taifa letu hili kubwa na Lenye nguvu Duniani! ni mkubwa pia!
USA ninayoiamini ni kubwa mno kiulinzi, kiusalama, kiuchumi ivo na adui zetu ni wakubwa km sisi tulivyo wakubwa naomba msifanye kosa hilo! katka Historia ya Taifa letu kubwa hili,
nawaomba sana ndugu zangu wake kwa waume msijefanya kosa kubwa km hilo! ...mliniamini sana, endeleeni kuniamini hasa ktk kipindi hiki kigumu, ambacho USA inanihitaji zaidi kuliko kipindi chochote kile!
Mie km Mwanajeshi hai mwenye ari na nguvu, Mke wangu Mama naniliu...Jill Biden.... na Familia yangu Ashley, Beau! tuna hali na mori wa hali ya juuu kujitolea kwa nguvu zetu zote hadi tone la Mwisho la damu yetu!
ajili ya kuijenga USA na Dunia salama na yenye Matumaini! na kutetea Wanyonge woote Duniani! na kuifanya Dunia mahali salama kwa wote!
Mimi km Rais mwenye dhamana kubwa yakuliongoza Taifa kubwa la USA! sinto sita! sita kuchukua hatua dhabiti kwa ajili ya wanyonge woote wanoonewa na kudhurumiwa haki zao Duniani,
chini ya mstikabala wa Mataifa dharimu yasiyo kuwa na chembe ya utu!! wala huruma kwa kina Mama , viwete, wazee, maskini na watoto wasioweza kujitetea Duniani,
tulikemea ukatili huo tangu zama za utumwa na Bado tutaukemea bila kuogopa wala kusita kwa sababu sisi km Taifa kubwa lenye nguvu uwezo na Mamlaka!
tuna kila sababu, nia uwezo wa Mamlaka ya kuiweka Dunia Mahali salama kwa kila mmoja wetu! tulifanya ivo na bado tuta fanya ivo,.....
Nimekuwa nikiwapa mifano miingi sana ktk hotuba zangu mbalimbali km ilivotokea juzi! juzi USSR, dhidi taifa dogo sana la Ukraine! nilitoa tamko la Ki dunia na la wazi kabisa...
niltoa matamko mbalimbali Nikiwataka/na kuwashi wale Rafiki zetu wa kweli Duniani, Africa, Asia, na America watuunge mkono kwa hili, tena bila kificho wala kumungunya Maneno! woote hao wana tuunga mkono....
Nichukue nafasi hii kuwashukuruni sana, yale Mataifa Rafiki ya EAC, ECOWAS na SADDAC, na waendelee na moyo huo wa kuzuia Ukandamizaji ya vizazi vijavyoo!
tunachoomba kwenu (Mimi na familia yangu, chama changu cha Democrat), ni ridhaa yenu tu! ndugu zanguni Americans,...... Tulionyesha tulishangaza Dunia kwa Umoja na nguvu mlioionyesha tangia Mwanzo,
ambayo nathubutu sema ndiyo nguvu ileile imetufikisha hapa tulipo, kwa sera zilezile mlizo zikubali, Ambapo naamini kabisa Maadui zetu wote! hawalali kuhakikisha Kuwa USA hatuko salama!
ndg zangu waamerica sitaki kuona wala kusikia USA ile inayo heshimika Duniani kwa kutetea Wanyonge ikididimia mbele ya macho yangu, nitajitoa kwa nafsi yangu na familia yangu na kwa hali yeyote ile iwayo!
kuiweka USA salama! Bila aibu wala woga!...Umoja wetu ndiyo nguvu yetu!
Nimalizie kwa kusema tu ''God Bless America'' in God we trust!...... together as one!.... asanteni sana''
Mwisho wa nukuu!