Unajitungia mtihani na kujijibu mwenyewe..
WApi nimesema wellbeing ya Russia ipo juu kuliko hizo nchi?
Kwani wana mpango wa kumtoa Putin? Kusema 'iwapo' ni kama vile mpango ukikwama!Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani.
Nakukumbysha tu pale Iraq makampuni yake yanachota mafuta ple Afghanistan makampuni yake mengi ylikuwa yanazoa madini apo Syria makampuni yake yanazoa mafuta sasa ukrein anapata nn
Prorussia mmechanganyikiwa, kila mtu anajitungia vitu vyake.Gaidi kuu duniani halipenyezi rupia kama halijaona rasilimali. Ila wanasema Ukraine kuna visima vya gas/mafuta vya mkuu wa kaya wa taifa kuu duniani.
Huko walikuwa wakivuna ila vita hii Ni ngumi mchomoko ,ngumi ndoike Hakuna kuvuna hivyo Ni hasala taslim
Na haya ndiyo mawazo ya TumainiEl . Hii inatupa ishara ya wazi malengo ya Ukraine akitumiwa na mabwana zake ni kumtoa Raisi Vladimir Putin madarakani. Wanataka regime change in Russia ili waingize serikali ya viongozi vibaraka wa Marekani na mshirika wake UK kitu ambacho hawatafanikiwa labda Putin akiwa mzee sana wa miaka 85 hadi 90.
Labda aondoke mwenyewe madarakani kwa hiyari au afe kwa natural cause of death.
Kesha ingia mitini,hasa baada ya Urusi kuzifanyia mahesabu makali roketis za HIMARS na kuanza kuzipukutisha kutoka angani kama nzinge, ni nadra kuzisikia tena.
Kikubwa zaidi jeshi la Urusi limefanikiwa vile vile ku-destroy repeaters karibu zote za aridhini huko Ukraine ambazo zilikuwa configured kushirikiana na satellite za USA kufatilia mwenendo wa jeshi la Urusi na kuwapatia taarifa jeshi la Ukraine na kusaidia katika ulengaji shabaha na kuongoza roketi/missiles - sasa kete hiyo Urusi imekwisha ipatia dawa/shughurikia yaani haipo tena, hilo limekuwa pigo sana kwa jeshi la Amerika na jeshi la Ukraine yenyewe walikuwa wanazitegemea sana katika operations zao za kijeshi.
Msifikiri Biden suddenly imefikia uhamuzi wa kuwatumia watu wengine kisiri siri ili wamshurutishe Zelensky afanye mazungumzo na Putin ili wasitishe/maliza vita huko Ukraine - nawambieni si bure, kuna kitu kimemshtua Biden - kitu cha kwanza Biden amegunduwa kwa mara ya kwanza kwamba kumbe jeshi la Urusi ni maji marefu, afadhali akubali yaishe licha ya Biden kupeleka wanajeshi wa US kisiri siri huko Ukraine wanavalishwa uniform za jeshi la Ukraine na kupelekwa front line,hata baadhi ya majeshi ya Ulaya nayo yanahusika kupeleka wanajeshi-hivi sasa actually Urusi inapigana na majeshi ya NATO/USA indirectly. Watu wote wapenda amani Duniani kote wanajua God willing Urusi itawashinda war mongers pamoja na mapreachers wa WNO na Unipolar World.
Dunia inataka Mungu atupe nini zaidi ya a brainy/wiser and mega smart Putin - take it or leave it, up2U.
Kumbe wengi mazuzu ,CIA walikuwa na kazi ya kuchuma na kuuza mimea opium jamii ya coke inayotoa madawa ya kulevya Afghanistan
View attachment 2409701
Sehem ya Finland ilikuwa SovietFinland haikuwahi kuwa ndani ya USSR. Wale wako Nordic.
[emoji23][emoji23] acha kamba Ukraine wana lugha yao na Urusi wana Lugha yao , ila baada Ya kuundwa kwa Soviet warusi waliingia Ukraine na hao ndo mpk leo wapo Ukraine wanaongea kirusi ila Ukraine wana lugha yaoPamoja na hayo, Finland haina socio-geopolitical ties na Russia kama ilivyo Ukraine. Wale huwezi watofautisha, ni ndugu kabisa. Hata Lugha wanatumia moja yaani priviet.
ila warusi wanaunga mkono ugaidi wa Putin ? usichojuwa Putin hakuwa na ushawish Urusi na alitaka itumia Ukraine kurudisha Ushawish ndan ya urusi , Kwa akili yako fupi Nan anaweza kuivamia nchi yenye nyuklia ? ila Urusi anajiokotea mapopoma anavamia majiran hlf majiran wakitafuta pa kujilindia anasema NATO wanajisogeza Mashariki wkt yy ndo anawafosi mataifa ya mashariki kujiunga na NATO maana haish vzr na majiranWamarekani wazawa wana muono tofauti ... In the United States, polls show eroding support among Republicans for continuing to finance Ukraine’s military at current levels, suggesting the White House may face resistance following Tuesday’s midterm elections as it seeks to continue a security assistance program that has delivered Ukraine the largest such annual sum since the end of the Cold War.
mshasifia weng sana , sasa hv hamuwakumbuk mtamsahau na huyu piaKazi imeonekana huyu jamaa hajawahi kufeli kazi hahahahaha
View attachment 2408556
acha uongo ww , Hata hivyo bado Urusi hana sabab za kuvamia Ukraine maana yeye alianza ukorof kwa kupandikiza rais kipendera HII HAITAKIW HATA KIDOGO pili wananchi wamemtoa nado analazimisha uchiz wake kwa Kupora jimbo la CRIMEA Hili pia ni kosa la Pili , KOSA LA TATU ni kufadhir uasi huko mashariki ya Ukraine kwa miaka 8 alipoona waasi wanashindwa kipind Zele kaingia bas Akavamia kabisa HILI NI KOSA LA 4 , KIPIND CHOTE UKRAINE HAIJAWAI HATA RUSHA JIWE URUSI , ila wapo KIMA WENYE MSONGO WA MAWAZO OWA KUSOMA DEGREE BILA MALENGO SASA HV WAPO VIJIWEN WAMEKUWA WAPIGA RAMLI WAO NI KUOMBEA NJAA KILA TAIFA LIFELI WALIVYOFELI MAISHA YAO , PUTIN ATASHINDWA HII VITA NA HII IWE FUNDISHO KWENYU NYINU NYAU MNAOSAPOTI UGAID BAADA YA KUJIFUNZA KUWA NEXT TIME RWANDA ITAKAPOVAMIA DRC KEMEENI SIO KUSUBIR TZ AVAMIE BURUNDI MSEME NI SAWA TU KISA RWANDA ILIVAMIA DRC , SHITHOLEEEE CHIM MPAZ EEE COUNYTYRussians waliomba mazungumzo kabla hata ya operation kuanza ,Putin hakutaka umwagaji wa damu lakini zele jamaa USA +NATO wakamdanganya wakamtia kiburi kuwa ataweza kupambana watamsaidia
duh kwamba NATO waliivamia Ukraine ili kumtoa Putin au Putin aliivamia ukraine ili kuipindua utawala wa Ukraine ?Hiyo ndiyo tamaa yao kubwa.
Uliaminishwa nanani!!?Mbona pia tuliaminishwa Russia ingeiteka Ukraine na Kyiv kuanguka ndani ya siku 3 ila sasa ni miezi 9 iko vitani?