Siri imefichuka,Mimba ya Aunty sio ya Moze Iyobo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums aitwaye Moze Iyobo. Licha ya dancer huyo kuinadi mimba ya mpenzi wake huyo mitandaoni , Aunty ameibuka na kudai kudai ujauzito alionao sio wa dancer huyo kama watu wanavyojua bali ni ya mtu mwingine ambaye kwa mujibu wa Aunty amesema atajulikana soon baada ya kichanga hiko kilichopo tumboni kuzaliwa.

Paparazi: Mambo vipi? Kwema lakini Aunt? Ehne leta maneno, mna mipango gani na baba mtoto mtarajiwa, Iyobo?

Aunt:Hahaha mimi mzima! Kuhusu Iyobo, mh! Kanipa mimba! Si kweli, nitakapojifungua nitamtaja baba wa mtoto wangu.

Paparazi: Mbona Iyobo amekuwa akijinadi kwenye vyombo vya habari kuwa mzigo ulionao ni wake?

Aunt: Mh! Jibu langu ni hilo nililokupa.
 
Halafu ajue mwenzie kwa mzee wa meno ya Tembo alifuata hela na sio kingine!

Kwa hiyo hata akiunguza picha mwenzie atajikaza tuuu
 
nikweli kk mimba sio ya iyobo..ukitaka kuprove zaid cheki na account zao za instagram picha hakuna post ambayo aunty ana mtaja au kuweka picha ya iyobo wala kusema mimba ya nani..wakati accont ya iyo anainadi mimba yake..so hapo ni kuwa iyobo anatika kama kivuli mwenye mimba yuko arusha mbugani na mke mkubwa..over
 
Kwa hiyo mimba ni ya Mbuga zetu?
 
mwe.....pole yako faraja ila hili ni kawaida siku hizi......mwanaume kukuletea mtoto ndani ya ndoa.....
 
Kama kweli Mr Tembo katishaaa...mijitu miroho unamwacha nyumbani ex miss Tz unapiga kicheche mwee...
 
Kama kweli Mr Tembo katishaaa...mijitu miroho unamwacha nyumbani ex miss Tz unapiga kicheche mwee...

Sio kila siku ule mbavuuuu, siku zingine unakula paja lililo nona nonaaaa!
 
Reactions: PLL
Sijui faraja yupo katika hali gani tu

Nimejaribu kuvaa viatu vyake mwenzangu vimenibana!Hili ndio kosa kubwa tunalofanya wanawake la kukubali kuolewa na wanaume malaya kwa kujidanganya kua tutawabadilisha!Yako wapi?
 


aaagh labda Iyobo analipwa chezea pesa ndefuuuu
 
Miss tanzania yuko busy na mashosti kama mnavyowaita wenyewe! Sasa mzee wa tembo kaamua.kujimegea kiulainiiiiiii
 
hbr zote mnatuletea sie twazpokea mwisho mtasema aunt hana mimba nayo kwa kuwa n hbr itakapotokea tutaipokea.
 
inya ndembedembe ile yashangaz ezekiel sio mchezo wajameni kwanini mbuga za wanyama asi changamkie mzigo
 
Nimejaribu kuvaa viatu vyake mwenzangu vimenibana!Hili ndio kosa kubwa tunalofanya wanawake la kukubali kuolewa na wanaume malaya kwa kujidanganya kua tutawabadilisha!Yako wapi?

Unajuaje mwanaume ni malaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…