mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 406
Misikini faraja wangu huko alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje mwanaume ni malaya?
Nimejaribu kuvaa viatu vyake mwenzangu vimenibana!Hili ndio kosa kubwa tunalofanya wanawake la kukubali kuolewa na wanaume malaya kwa kujidanganya kua tutawabadilisha!Yako wapi?
paka hatulii hata kwa steki na maziwa atakimbiza panya tu
Nimejaribu kuvaa viatu vyake mwenzangu vimenibana!Hili ndio kosa kubwa tunalofanya wanawake la kukubali kuolewa na wanaume malaya kwa kujidanganya kua tutawabadilisha!Yako wapi?
Umeona mwaya eeh?Faraja akajidanganya yeye samaki atamshika paka masikini!
nilikua namuelezea mdogo wangu the same ulivyoandika
nilikua namuambia viatu vya faraja kota mi naona size 22 halafu skuna
anacheka hapa hadi bas
ndoa zina mengi masikini mwenyewe huwa anapost picha na mme wake mmh kumbe maumivu tu....sorry for her
Hahahaaaa muambie acheke na ajifunze.Hawa wanaume sio wa kuwaamini kabisa.
yani naye ana mme wake kaja kwangu mara moja ndo type hizo za kina mbuga zetu mmewe
yani anacheka sio mazuri anajua yatamkuta siku si ndefuuu
Bora ajitochee pesa aweke kando kama mke maana wanaume hawatabiriki. Unakuwa na account yako unajazia mapesa uliyomchota mume maisha nae yanaendelea hadi hapo kama akileta suprise unasepa na bila kusahau kuwekeza.
Masikini mpe pole zake ila mshauri asimvumilie mwanaume wa type hiyo.Maradhi mengi....ohooo
shoga mwenyewe kampenda mie tena nampa moyoo
na mume mshallah pene linacheua ana UCHAWI wa malkia unamfumania anaomba msamaha na shopping za maana na mahela bibiie
mi naogopa kushauri mambo hayo maana uzito wa mzigo anaujua mbebaji unamshauri leo kesho wenzio mahaba mahabaniii
na yenyewe ndoa sio uhawara!!
mi nampaga moyo tuu ila cha moto anakiona