Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
All 2 all Faraja atabaki kuwa mke mmiliki wa Mali za huyo Twiga wetu mpk cku ya mwisho yeye Twiga wetu km alichelewa kutotoa kivyake Faraja kafunga sasa anakusanya mauzo tu naye ya kodi za mbugani. Wangapi wanazaa nje ya ndoa Kama ...... mbona mkewe anatambulika kimataifa na duniani kote! Shida ipo wapi kwa mwana wa Kotta? Tupakule na wazae tu Bint ataendelea kutesa mpk Mbuga za Ulayaaa!!!
ndo dhana hii tunajipaga moyo
mwisho tunakua mke pete wakati pale altareni ulitoa ahadi