Siri imefichuka,Mimba ya Aunty sio ya Moze Iyobo

ndo dhana hii tunajipaga moyo
mwisho tunakua mke pete wakati pale altareni ulitoa ahadi
 
Duh!nahisi kama chejo flan huyo mama kijacho anacheza coz hana uhakika na alieshirikiana nae kukitafuta kiumbe hicho so uanasubiri filimbi ile waqt mtoto kazaliwa ampe baba yake! duh kazi kweli kweli.
 
Wewe acha tu shoga....yale mambo ya team each other...
Yeye anaweka picha na caption nzuri kumbe wenzie wanamng'ong'a tu.

wanamng'ong'a tena???kwani wale divaz na wenyewe wapo hivo?mbn naonaga hawana uswahili wale?
 
Bora ajitochee pesa aweke kando kama mke maana wanaume hawatabiriki. Unakuwa na account yako unajazia mapesa uliyomchota mume maisha nae yanaendelea hadi hapo kama akileta suprise unasepa na bila kusahau kuwekeza.

nimependa huu mpango wako ha ha ha
 
Bora ajitochee pesa aweke kando kama mke maana wanaume hawatabiriki. Unakuwa na account yako unajazia mapesa uliyomchota mume maisha nae yanaendelea hadi hapo kama akileta suprise unasepa na bila kusahau kuwekeza.

Hahaaa safi saaaaaaana!
Ujanja kupata
 
wanamng'ong'a tena???kwani wale divaz na wenyewe wapo hivo?mbn naonaga hawana uswahili wale?

Nimemaanisha wenzake hao wanaochepuka na mumewe.Unadhani watakua hawamfollow?Aah wapi.Ni followers wake wazuri tu.
 
Nimemaanisha wenzake hao wanaochepuka na mumewe.Unadhani watakua hawamfollow?Aah wapi.Ni followers wake wazuri tu.

aaah okay nkahisi ni mashost zake nancy, klyn na wenzi....namuonea huruma ila ndo hivo wanaume walivo
 
aaah okay nkahisi ni mashost zake nancy, klyn na wenzi....namuonea huruma ila ndo hivo wanaume walivo

Aachane naye tu.Yeye ana pesa ana shida gani?Mwanaume anayechepuka hivyo siye kabisa.Kwanza hampendi wala kumheshimu mkewe maana asingefanya hivyo.
 
aaagh labda Iyobo analipwa chezea pesa ndefuuuu

Anapaswa kumwambia mtoto wa watu ukweli kuwa jukumu lake ni "kuongeza njia" tu, na sio kukaa kutarajia miujiza kama Mama Anna, ya kuamka asubuhi na kukuta mipesa kwenye akaunti.....ukijishembendua unakula vibao kama Nuhu.
 
nifah, sster na dinazarde mbona nyinyi watata sana ni nani kawambia hiyo mimba ni ya mh, yeye kakataa nyinyi mnalazimisha mlikuwepo? huu si ndo ushigongo.
 
Umenichekesha.

I guess na shosti wake mkubwa w yeye bado hajanasa toka kwa babu. Maana wawili hao mmmh na kumbe ndio zao na viongozi wa nchi ... Pesa hatari jamani

Hhhhhhaaa, pesa tamuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…