Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

yani mtaji hapo ni kulamba miguubta wanakamati kuu wakiongozwa na mh jiwe, then ukishateuliwa kugombea tayari wewe ni mbunge.hapo unakesha kwa wataalam wa kamati za ufundi unalamba uwaziri.after hapo ni kupiga pesa ndefuuu.😁😁

Yani graduater mwenye degree3 hamwambii kitu king msukuma aliyefundishwa na walim wa mgugumbaroπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanabeza m 11 in pesa kidogo Ila kiukweli pesa hii ni nyingi kiuhalisia hata walio na pesa nyingi hawawezi kudharau kiasi hiki cha pesa
 

Hiv nasikia hawa wabunge huwa hawakatwi kodi eti,kwa nini wao hawakatwi kodi?
 
Pesa ndefu!! Ndo maana wakiukosa wanakuwa wakali kama mbogo
 
Pengine huenda sababu iliwahi semekana mkuu anapata m9 so hawa wabunge naona wanapiga pesa kuliko boss wao mh! Inabidi kufikiri upya
We uliona wapi MD anapokea mshahara mkubwa kuliko CEO?

Only in TZ!!
 
mi nilikua najua milioni 12
 
Hata wenye pesa nyingi hawezi kudharau kiasi hiki cha pesa isipokuwa wavivu wa kutafuta hurahisisha mambo.
We uliona wapi MD anapokea mshahara mkubwa kuliko CEO?

Only in TZ!!
Hapo ndo wanapokosea kutuona kama watu tusio tafakari sawasawa ili hali ni uongo ulio waz
 
Na ukumbuke huo mshahara walijipangia wao wenyewe na kuupitisha kwa kura zote za ndiyooooo
 
We ni kuunga mkono Juhudi tu
 
Daktari aliesoma miaka 5 na mwaka mmoja wa intern akiajiriwa halmashauri analipwa 1.48M sasa iyo Ni basic akikatwa anabaki na laki 8 na upuuzi...Inamaana take home ya daktari kwa mwaka mmoja ndio take home ya mbunge ya mwezi mmoja ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani nyie
 
Kwa nini walala hoi wabebeshwe matatizo yake? Alifanya kampeni au alihonga pesa zote hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…