Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

Sio siri, sema ulikuwa hujui. Mbona hiyo hongo ni ya tangu muda mrefu? Unadhani zile ndioooooooooooo ni za bure? Wanalipiza.
 
Haya mambo ya kufuatilia mishahara ya watu yatakuumiza sana ukiendelea kuyafuatilia[emoji706]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Si mishahara ya watu, hiyo ni hela ya umma, tuna haki nayo. Bunge si shirika la uzalishaji.
 
Licha ya kupewa, hata siku ya kuapa atatetemeka.
 
alafu yule namba moja si alisema ni 6M kwaio anataka kutuambia yuko chini ya wasaidizi wake?
 
Sijawahi kujua kwa nini mbunge alipwe mshahara months, yaani sawa na mwalimu au daktari ambao wako kazini daily... Angalia mbunge kama Abood pale Moro, yuko tu bize na biashara zake, ukiondoa few months wanazoenda mjengoni, yuko na biashara zake tuu.
 
Una akili finyu sana... Unajua mwalimu mshahara wake?
 

Mbona inajulikana mzee mishahara serikalini na ya viongozi hakuna Siri, sema wewe ndio umechelewa kuifahamu
 
kweli kabisa nchi hii masikini bado kuna baadhi ya wafanyakazi wanalipwa 10m kwa mwezi!!!!!!!
Mhe. Rais Magufuli litazame hili kama ulivyo punguza kwa watu wa madini standadize mishahara ya watumishi ili pawepo angalau na ulinganifu.
wizara husika lifanyieni kazi hilo, nchi hii bado haijafikia kiwango cha kulipana mihela hiyo wakati wananchi vijijini hawana maji wala dawa hii hata Mungu hapendi.
 
Hiyo wala siyo jambo jipya, KWA HIYO SIYO SIRI, watu wote, ila wewe, tunajua mishahara ya wabunge kwani ni mara nyingi tu wamekuwa wakiisema hadharani; hata wakati wa sakata la Mwenyekiti Mbowe kuwachangisha wabunge wa CHADEMA, hili lilisemwa na wakataja hiyo mishahara yao hadharani. Siyo siri ndugu hiyo!
 
Subiri na mishahara ya dahambi itapanda kuzidi hyo ya wabunge🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…