Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
- Thread starter
- #21
Mimi tayari ni bibi arusi wa Yesu. Nasubiri aje kunichukua twende kwenye sherehe ya arusi ya nguvu!Kama hujaolewa jitolee uwe mke wa Rais mtarajiwa mheshimiwa Dennis Robert Shughuru .. mna akili zinazofanana.
Ufunuo 22:17
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.