Mimi tayari ni bibi arusi wa Yesu. Nasubiri aje kunichukua twende kwenye sherehe ya arusi ya nguvu!
Ufunuo 22:17
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.