uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
SIRI IMEVUJA
WAPATIWA MALIPO makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. TAARIFA zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundulisu kuvuruga uwekezaji
Kamati kuu ya CHADEMA imekubali kiasi Kikubwa Cha MALIPO ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. TAARIFA zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao wanafanyashughuli za kupakia na kupakua mizigo katika Bandari mbali mbali Duniani walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD katika kupata Tender ya kuwekeza katika Bandari za Tanzania.
Kampuni ya BELG SEA INTERNATIONAL imeingia makubaliano na CHADEMA chini ya wakala wake Tundulisu ambaye ni Makamu Mwenyekiti kuvuruga uwekezaji wa MABORESHO ya ufanisi wa bandari Tanzania.
Hata hivyo Baadhi ya Wajumbe wa Kamati kuu wamegoma kuingia katika makubaliano hayo sababu Makamu Mwenyekiti Tundulisu kutaka fedha Hizo ziingie Kupitia akaunti zake zilizopo Nchini na nje ya Nchi.
Hata hivyo kofia ya Mwenyekiti imetoa Baraka Hizo na Hadi Jana Tarehe 26 JULAI, 2023 kiasi cha BILIONI 5.4 zimeingia katika akaunti za Tundulisu Kwa ajili ya Mpango huo na Uzinduzi Rasmi utafanyika Bukoba Tarehe 28 JULAI, 2023
Wajumbe wameonyesha Hofu yao kuwa pesa Hizo zikiingia kwenye akaunti binafsi zitapigwa kama fedha za +255KatibaMpya zilivyopigwa na Freeman MBOWE alipotoka Gerezani
Rubbish