Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

Unadhani bila ushahidi watanganyika watakuelewa bro. Weka huo mkataba Kama ule wa bandari uliovuja. Huna lolote mchumia tumbo tu wewe.
 
Hamtuhamishi kwenye reli ng'o
 
JUMA JUMA??
Kuna haja ya kujiuliza mara 2?
 
Sijui kwa nini siku hizi, wanaokaribia kupatwa na uwendawazimu, mahali wanapoona panafaa kujitangaza kuwa wameanza kupatwa na tatizo la akili kwa kuleta vitu vya ajabu.

Mleta mada, bila shaka atakuwa ni mgonjwa maana amebwabwaja mengi yasiyo na chochote hata mtu mwenye akili kuweza angalao kufikiria kuna kitu.

Pole mleta mada. Sijui kama ndugu zako watakuwa wanajua kuwa tatizo lako limekwishafika kiwango hiki!!
 
MATAQO Kama hawa hua wanafanya tupate hasira tutukane
then Moderator watupige ban
hivi hawa wajinga hua wanafunguliwa id humu na nani?
maana akili kama za mtoa mada utazikuta huko Facebook tawi la Lumumba!

shabhaaash!
 
Sijui kwa nini CCM inawatumia watu wasio na akili timamu kuutetea upuuzi. Huyu mleta mada kwanza inaonekana ni mwenye elimu duni, akili ndogo,na asiye na mbele wala nyuma. Ni wale bora kumekucha.
Hana uelewa hata wa kudanganya!!!!....
 
24 February 2023

MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO - (MOU) NA ANTWERP-BRUGES INTERNATIONAL YA BELGIUM KUONGEZA UFANISI

February 2023 : Makubaliano MOU baina ya Bandari ya Kimataifa ya Antwerp-Bruges International ya Belgium na bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza uwezo wa bandari ya TPA

Mbali ya Antwerp-Bruges International kukubaliana ufanisi pia masuala ya bandari kavu yalikaziwa ili bandari ya Dar es Salaam iweze kupunguza kuelemewa na makasha yaliyokwisha kupakuliwa dawa ni kuyaondoa kuyapeleka bandari kavu

Bandari ya Dar es Salaam ni eneo ambalo kijiografia ni eneo la asili kimkakati kwani nchi zaidi ya 5 zinategemea huduma yake hivyo kila siku bandari inatakiwa kujiongeza ili kukabiliana na ongezeko la mizigo .

Pia bandari ya Antwerp-Bruges International (PoABI) na chuo cha bandari cha APEC-Antwerp/Flanders Port Training Centre (APEC) cha Belgium wamekuwa ushirikiano wa kuwajengea uwezo watendaji wa Bandari ya Dar es Salaam

Tanzania Ports Authority and Port of Antwerp-Bruges International Collaboration​

The Tanzania Ports Authority (TPA) and Port of Antwerp-Bruges International formalized a framework for collaboration during the two-day Tanzania-European Union (EU) Business Forum held from 23 – 24 February in Dar es Salaam.

The MoU was signed between the Director General of Tanzania Ports Authority (TPA), Mr Plasduce Mbossa, and the Director of Port of Antwerp-Bruges International, Mr Mario Lievens.

Port of Antwerp-Bruges International (PoABI) and APEC-Antwerp/Flanders Port Training Centre (APEC) have been working together since 1979 with TPA on a sustainable partnership with a focus on capacity building.

“This collaboration resulted in the signing of a mutual beneficial memorandum of understanding for consultancy, studies and exchange on various port related activities, as well as training and capacity upscaling,” Mr Mbossa stated.

The aim of the MoU is to establish a stable model of institutional cooperation between both port authorities.

The areas of collaboration that have been identified in this stage, are axed on defining a long-term strategy for TPA, through strengthening the existing main port infrastructure of Dar es Salaam.

It will also focus on capitalising on its geostrategic position through improving the hinterland connectivity through the development of dry ports and lake ports, and preparing for additional capacity in the near future.

Source: Home - Daily News
 
Tangazo la tenda ya bandari ya Tz lilishawai kutolewa nitoe tongotongo nisije bisha kitu Cha kweli huko mtaani
 
Antwerp, Belgium

Mamlaka ya Bandari Tanzania yasaini makubaliano ya MoU na kampuni ya Bandari ya Antwerp-Bruges ya Ubelgiji

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Bandari ya Antwerp-Bruges International walirasimisha mfumo wa ushirikiano wakati wa Kongamano la Siku mbili la Biashara la Umoja wa Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) lililofanyika kuanzia tarehe 23 – 24 Februari jijini Dar es Salaam.



Makubaliano hayo yalitiwa saini kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa na Mkurugenzi wa Bandari ya Antwerp-Bruges International, Mario Lievens.



Bandari ya Kimataifa ya Antwerp-Bruges (PoABI) na Kituo cha Mafunzo cha Bandari ya APEC-Antwerp/Flanders (APEC) zimekuwa zikifanya kazi pamoja tangu 1979 na TPA katika ushirikiano endelevu unaolenga kujenga uwezo.



"Ushirikiano huu ulifanikisha kutiwa saini kwa mkataba wa maelewano MoU wenye manufaa kwa pande zote kwa ajili ya ushauri, tafiti na kubadilishana shughuli mbalimbali zinazohusiana na bandari, pamoja na mafunzo na kuongeza uwezo," Bw Mbossa alisema.



Madhumuni ya MoU ni kuanzisha mfumo thabiti wa ushirikiano wa kitaasisi kati ya mamlaka zote za bandari.



Maeneo ya ushirikiano ambayo yameainishwa katika hatua hii, yamejikita katika kuainisha mkakati wa muda mrefu wa TPA, kupitia kuimarisha miundombinu ya bandari kuu ya Dar es Salaam.



Pia italenga kujinafasi zaidi (geopolitical) nafasi yake ya kijiografia kupitia kuboresha muunganisho wa nchi kavu kupitia uundaji wa bandari kavu na bandari za maziwa, na kutayarisha uwezo wa ziada katika siku za usoni
 
Acheni ushamba, mimi pia napinga je nimeongwa nani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wacha nicheke itakuwa katulokotea ka story huko igunga kwenye kijiwe Cha kahawa bila kuangalia kama kweli kuna hio kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…