Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

Wwe ni Lijingaa, kwahiyo chadema wakipinga, alafu DPW ikaondoshwa, CCM watawapa hao wabelgij??.

Kwahiyo hao wabelgij ni washindan wa DPW Kwa Bandari zetu? Kwa Tenda gan??.


Hivi kua mwanaccm ni lazima uwe ni lijinga, libwegeee Mbumbumbu liongoooo liongoooooo ,huna aibu??.

Mpumbavu we.
 
Sawa tu bwashee. Muhimu hapa hatutaki Bandari za Watanganyika ziuzwe. Tutashirikiana hats na Shetani kupaza sauti
 
Wewe mwandishi ni bure kabsa, kwani chadema wanapinga uwekezekaji au Wanapinga vifungu vya mkataba?
 
Ambatanisha na ushahidi ili isionekane ni porojo.
 
Hamuoni aibu kutunga uongo?
 
Kumbe kulikuwa na ushindani wa tenda na hamkusema!
 
Source?
 
NONSENSE Chadema sio serikali na hawana uwezo wowote wa kusaini mikataba. Wakivuruga hiyo kampuni itapata nini??
 
Mbona ukisearch mtandaoni hakuna kampuni yenye jina kama ilo we jamaa utakua mgonjwa wa akili
 
Ujio wako duniani ni matumizi mabaya ya manii
 
Dadangu FaizaFoxy nakupa kongole kwa hili.
 
Ujinga ujinga, naona una hororoja tu hapa
 
Mbona huwajumuishi akina Mzee WARIOBA, BUTIKU, Shivji na viongoz wa dini baadhi? Au CDM ndio wanatupiwa jumba bovu, tueleze hao wengine wapo angle gan!! NB; Uzi wako hauna tija wala confirmation, check comments 🤣🤣🤣
 
Mkataba ulianza kupingwa na viongozi wa dini,wasomi,wanasheria,mwisho Chadema,mtatumia mbinu nyingi kupindisha ukweli lakini hakuna kitakachobadilika,nyie ni wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…