Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,068
Ndugu wana JF,

Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya, natumaini kwamba mnaendelea vema wadau wangu wa ukweli.

Leo nitajikita zaidi kuwaongelea wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika ukanda wa afrika mashariki, kuna story inayowahusu baadhi ya wasanii wenye majina makubwa ambao ki ukweli wamefanikiwa ki maisha mpaka leo hii, na wengine walifanikiwa waka drop na haijulikani kama watafanikiwa tena (second chance) kupitia mkondo huu wa muziki wa ki dunia (mtindo wa kisasa).

Chameleone, Mr. Nice, Jay Dee na Bushoke
Huyu jamaa ni bingwa wa uchawi asikwambie mtu, na wala simpigi majungu. Anapapenda sana Tanzania kwa sababu moja tu, nayo ni kambi yake kubwa ya uchawi. Kambi yake ipo Ziwa Victoria (wadau waliopo humu watataja eneo maarufu lililo upande wa ziwa victoria ambalo watu mashuhuri hupenda kwenda kwa mambo yao ya uchawi). Na ndiyo maana msanii huyu haivi na wasanii wenzake hata kidogo mfano: bob wine, bebe cool, na pia mdogo wake weasel. Na yote hayo ni mali na pesa jinsi anavyozipata. Huyu jamaa kapata ajali nyingi sana katika mazingira ya kutatanisha (yaani mauzauza) mpaka ikapelekea wenzake wakawa wanamnanga badala ya kuhurumiwa, yeye anajitetea ni mkatoli safi lakini hana lolote. Na huyu C.h.a.m.e.l.e.o.n.e alimshauri sana B.u.s.h.o.k.e afate nyayo zake lakini B.u.s.h.o.k.e alikataa kata, na ikabidi akimbie kabisa kwa muda kuelekea South Afika kwa baba ake. Ilianza hivi, wakati B.u.s.h.o.k.e anaenda Kampala kufanya kazi na C.h.a.m.e.l.e.o.n.e ya MAMA RODA, jamaa alishangazwa na wananchi wanavyompenda jamaa wake wa uganda, yaani ni vurugu ya kupendwa mpaka kero. Sasa B.u.s.h.o.k.e na yeye akatamani haiba ya kupendwa akataka kujua siri yake, mwisho wa siku akaona na kujua siri hiyo akaamua kusaliti na kukimbia huko kwa Madiba. Ndipo baadae akarudi Dsm na kutengeneza kibao kinachoitwa DUNIA NJIA, usikilize ule wimbo kwa makini ndiyo utaelewa vizuri, lakini jamaa hakukaa sana Bongo alirudi kwa Madiba.

Mr N.i.c.e naye alikuwa msafiri kabla hajaanza muziki, ni mchaga ambaye amefanikiwa muziki si kwamba anajua sana kuimba bali kismati. Wimbo wake wa kwanza ni FRIDAY NIGHT, ukiusikiliza ule wimbo utajua kabisa msanii huyu hana kipaji cha kuimba. Na yeye ni mdau wa ziwa victoria kama kawa. Ila sijui kwa nini waligombana na C.h.a.m.e.l.e.o.n.e (kwa sababu enzi zao, Dsm kuku kapanda baiskeli na Kampala kipepeo, watu walikuwa hawakai kwenye viti). Wakati akiwa anajutia na kusema kwenye vyombo vya habari kwamba haelewi ni nini kilichomfanya mpaka afulie kiasi hiki, ndipo wimbo wa HISTORIA ukatungwa na kutolewa fasta na J.i.d.e. Wimbo huu unamhusu Mr N.i.c.e kwa sababu J.i.d.e anamuelewa vyema huyu jamaa, na yeye ni mshirika wa ziwa hilo la victoria kwa miaka mingi tu. Siri ya kuingia ndani ya maji katika Ziwa victoria ni kutumia yai kwa kupasua kwa kurusha kwenye ziwa hilo mpaka lipasuke, ukifanikiwa kupasua yai ndipo unaweza kuzama ndani ya maji ya ziwa hilo.

Naomba niishie hapa, nakaribisha wadau mjadili aina ya mafankio ya wasanii jinsi wanavyoyapata kwa njia ambazo si nzuri kwa upande wangu. Lakini siyo wasanii wote wa afrika wanatumia uchawi bali walio wengi wanatumia ndumba za hatari, hata Gospel artists kwa baadhi yao hapa Tanzania ni uchawi full huwezi amini.
 
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana
 
zinc

Kuhusu wao kufanya hivyo, wew umeyajuaje? Wew ulikuwa mmoja wao?
 
Last edited by a moderator:
zinc

Majungu at work! Nani asiejua juhudi binafs za jide? Yawezekana anapractise whitch craft lakn sidhan mlianza oooh jide anauza madawa..acheni hizo..we umeuajuaje ya ziwa Victoria na mayai? Bila shaka we ni Mr.nice!
 
Last edited by a moderator:
zinc mbona chamelion na weasel wanawiva sana ?

Walikuja kupatana, lakini ni baada ya Weasel kufanikiwa. Na kuiva kwenyewe ni undugu tu umewaunganisha. Hawa feel pamoja kihivyo
 
Last edited by a moderator:
Walikuja kupatana, lakini ni baada ya Weasel kufanikiwa. Na kuiva kwenyewe ni undugu tu umewaunganisha. Hawa feel pamoja kihivyo

Wanaonekan wakiwa pamoja sehemu mbalimbali
Izo n propaganda tu
 
masikini kazi yenu ndio hiyo majungu,mtu akifanikiwa kwa juhudi zake mnaanza majungu,mimi namjua jose chamilion anafanya kazi jumatatu hadi jumatatu,uwa ana sehemu nyingi kwenye hizi pub ameingia nazo mkataba wa kuimba,kwa siku anaweza kuimba ata pub 3

Pia amewekeza kwenye biashara na anapiga show nyingi sana america,asia,africa,arabs etc.

Tukija kwa huyu aliyefulia mr nice yeye aliwekeza kwenye pombe,wanawake na msafara wa watu wapambe,alikuwa na zaidi ya billion 1.5 kwenye account

Tukija kwa Jide anapiga sana kazi .Tatizo la Afrika mtu akifanikiwa ni majungu mnaumia sana mtu akifanikiwa badala ya kujifunza na kukazana kuweka bidii ili mfanikiwe.

Acheni majungu yenu na imani zenu za kishirikina watu wanafanya kazi kila siku kwa juhudu kubwa,nyie endeleeni kupiga majungu na fitina.

Dawa ya watu kama nyie ni kupata mafanikio zaidi ili muongee,mshazoea mtu mwenye mafanikio lazima awe mzee,akifanikiwa mtu kijana maneno mengi mara mjenzi huru,uchawi,fisadi,jambaz etc

Fanyeni kazi acheni imani zenu za ushirikina bababaeee
 
siku hizi ukiwa na kipaji... freemasonry!
mbona zamani kulikuwa na watu talented na hawakuhusishwa na mambo hzoooo... sio kila unachokisikia basi ukiweke moyon na kukiaamini 100% vingine ni falsafa za watu for their own interests, mawazo kama hayo yatakufanya akili yako iwe dormant na uhisi huwezi kufanya jambo pasipo nguvu za giza.
Mungu akutie nguvu.
 
zinc

Ume nikumbusha kitabu cha "janga sugu la wazawa" kina simulizi kali sana za kishirikina, ziwa victoria victoria inaonekana ni balaa yaweza kua hata wanasiasa wetu ns baadhi ya wachungaji feki ni 'waumini' wa ziwa victoria.
 
Last edited by a moderator:
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana

Majungu at work...
 
Ume nikumbusha kitabu cha "janga sugu la wazawa" kina simulizi kali sana za kishirikina, ziwa victoria victoria inaonekana ni balaa yaweza kua hata wanasiasa wetu ns baadhi ya wachungaji feki ni 'waumini' wa ziwa victoria.

Kiongozi! Siri katika nchi hii haijafichuka sawa sawa lakini siku ipo itafichuka. Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba, uchawi ndiyo unatufanya wa tz tusiendelee. Na hata tukiendelea ni kwa muda tu, uliza ya inspector au juma nature mzee wa tawile. Juma nature ni mzuri kwa tunguri asikwambie mtu lakini sasa anapoishia ni shida.
 
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana

Sidhani kama kuna sababu ya majungu, ni Bidii yako tuh katika Kazi hamna Uchawi, pili Diamond anaongoza kwa video bora TZ
 
Back
Top Bottom