mkuu,kuhusu jide,sikatai,hilo nina uhakika nalo,tena nilipata kusimuliwa na moja ya mtu wake wa karibu sana ambaye anamjua jide in and out,na hayo maagano ya kichawi aliyoyafanya huko lake victoria na lake tanganyika ndio sababu kubwa ya yeye kukosa mtoto,alipewa masharti mawili eithere awe na mafanikio na akose mtoto, au abaki maskini lakini apate mtoto,yeye akachagua mafanikio bila mtoto
We mpaka uambiwe na nani ndiyo uamini ni kweli!!! π
Naomba wana JF mlioko karibu na ziwa Victoria mnipokee naja uko kuvunja mayai na kuogelea nataka niwe kama Bob Marley,2pac ikishindikana hao nifike angalau levo za Kanda Bongoman wakati wa enzi zake
We mpaka uambiwe na nani ndiyo uamini ni kweli!!! π
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana
Nashangaa kwa kuwa jide mbona alishafanya juhudi nyingi hospital ili apate mtoto... So kama alichagua hivyo why ahangaike?
We unajua maana ya anakonda???!!! Au mnamuita tu Anakonda πππ