Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Kufanikiwa sio rahis hata kidigo usipojituma eti,uchaw haupo ni ufupi wa kufikir tu coz km ungekuwepo kila mtu angefanya afanikiwe eti lol
 
Ukitaka kutoka kimuziki fanya yafuatayo,
mtafute dully akupeleke kwa mganga pale vikindu,
Ujuwe kuimba kidogo,
uhusiano na media kama clouds, timess, efm
Uhusiano na watu kama fella na babu tale,
Ukubari kunyonywa pia hapo utatoka
 
zinc

Mkuu unachosema ninaweza kuamini.
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE=zinc

mkuu,kuhusu jide,sikatai,hilo nina uhakika nalo,tena nilipata kusimuliwa na moja ya mtu wake wa karibu sana ambaye anamjua jide in and out,na hayo maagano ya kichawi aliyoyafanya huko lake victoria na lake tanganyika ndio sababu kubwa ya yeye kukosa mtoto,alipewa masharti mawili eithere awe na mafanikio na akose mtoto, au abaki maskini lakini apate mtoto,yeye akachagua mafanikio bila mtoto
 
Ya kweli haya Mtende
 
Last edited by a moderator:
Penda wenye mafanikio kama nawe unapenda kufanikiwa, hizo fikra zako haziwezi kuthibitishwa.
 
Naomba wana JF mlioko karibu na ziwa Victoria mnipokee naja uko kuvunja mayai na kuogelea nataka niwe kama Bob Marley,2pac ikishindikana hao nifike angalau levo za Kanda Bongoman wakati wa enzi zake

Naomba nikuunge kwenye huo msafara aiseee
 
Tangu nimuone Jide na yule mpiga ramli nashindwa jinsi ya kupinga ulicho kiandika kuhusu yeye!
 
Tangu nimuone Jide na yule mpiga ramli nashindwa jinsi ya kupinga ulicho kiandika kuhusu yeye!

We unajua maana ya anakonda???!!! Au mnamuita tu Anakonda 😀😀😀
 
Nashangaa kwa kuwa jide mbona alishafanya juhudi nyingi hospital ili apate mtoto... So kama alichagua hivyo why ahangaike?

hata mimi sikujua kwa nini alikua anahangaika wakati siri anaijua,labda alifanya vile kumridhisha gadna
 
mmmmhhhh haya mambo yapo sana hasa kwa wabongo na afrika ila siwezi wasemea maana sijawaona
 
Wabongo bwana...ukifanikiwa wanasema umetumia uchawi majungu hayo na roho ya kutu....nani hazion juhudi za lady jaydee na jose km uchawi ndio siri ya mafanikio nadhan jide angekua analala tu bt yule dada ni anajituma sn muda wote yuko busy hata viwanja huwez kumpata...mr nice aliboronga mwenyewe kwa kupenda starehe so
 
Nmefuatilia post nying za zinc naona muda mwing sn ye amebase ktk kumponda jide always...so maybe ukute kuna kitu mlipishana malipo yake yamegeukia ktk kuanzisha thread za kumponda always bt ktk hili sitokuamin coz wabongo mnaongea sn na kila mtu anaongea kwa matakwa yake mrad nae aongee
 
Back
Top Bottom