Binadamu tumepewa uwezo mkubwa sana
Tunaweza tengeneza habari kutokana na hisia zetu wenyewe (haijalishi zina ukweli au uongo)
-tukaiamini habari hiyo
-tukaitengenezea mazingira ya ushahidi
-tukawauzia habari wengine....
kuamini au kutokuamini ni chaguo la mpokea habari
mie hii habari yako ndugu zinc siiamini hata kidogo..nimegoma
Nina ukaribu na wasanii wachache wa bongo! Kwa maslahi ya ukaribu wetu, sintawataja!
Kupitia wao, nimeyaskia mengi ya kishirikina zaidi ya hata aliyosema mkuu ktk uzi wake!
Kwa upande wa wanasiasa, pia iko hivo hivo! Niliwahi kufanya kazi na mmoja wao, nae si tu alinipa kujua uhusiano kati siasa na ushirikina, bali niliweza hata kujionea "activities za Fundi"
Cha kushangaa sana mimi ni hiki, kuna mganga alikuwa anahudumu km wasanii wa3 hivi! Lakini ni mmoja tu aliheat au anaheat, na kituko ni kwamba, ktk wa3 hao, Wawili ni mabest sana, huyu alieheat pale alipelekwa tu na mwenzie, ambae akafanya vby zaidi!
Hapa ndio sielewi!
Kiongozi! Siri katika nchi hii haijafichuka sawa sawa lakini siku ipo itafichuka. Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba, uchawi ndiyo unatufanya wa tz tusiendelee. Na hata tukiendelea ni kwa muda tu, uliza ya inspector au juma nature mzee wa tawile. Juma nature ni mzuri kwa tunguri asikwambie mtu lakini sasa anapoishia ni shida.
Weeee koma ishia hapo hapooooooo
Hahahaaaaa
Nmefuatilia post nying za zinc naona muda mwing sn ye amebase ktk kumponda jide always...so maybe ukute kuna kitu mlipishana malipo yake yamegeukia ktk kuanzisha thread za kumponda always bt ktk hili sitokuamin coz wabongo mnaongea sn na kila mtu anaongea kwa matakwa yake mrad nae aongee
Mkuu mwaga
Mkuu! Hakuna binadamu anayejua kuimba kama Lucifer, hakuna na haitokaa itokee. Ili uweze kufanikiwa kuteka zaidi, anahusika sana Lucifer hapa. Usione vyaelea ujue vimeundwa, sasa je vimeundwaje undwaje???!!! Anakonda ni ishara ya Lucifer, huko kwingine sitaendelea kiongozi, nisamehe
Hii chai haijawekwa kilevi kweli???
Hizo ni imani za kijinga tu,mimi nko mgodini hyo mambo tumeyaona sana n mwisho w siku ni kufilisika 2 mtu anatoa kafara kila wiki bt madini hapati.cku zote mtaji+juhudi ndio huleta maendeleo mtu unachimba mgodi kisasa n baruti zinapigwa kwa kufuata maelekezo y geologist kwanini nsipate madini
Ndo hapo sasa...
Juhudi zinalipa sana
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana
Tangu nimuone Jide na yule mpiga ramli nashindwa jinsi ya kupinga ulicho kiandika kuhusu yeye!