Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Tulishazungumza huko nyuma wewe umefanya dandia treni kwa mbele
 
Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
Ntakujibu, ila ngoja nikuulize kwanza, unaamini ramani ya Dunia? Ilichorwa vipi?
 
Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
Huwezi kuona Dunia ikispin Kwa sababu Dunia pamoja na atmosphere yake vinaspin Kwa pamoja Kwa speed sawa ukiwapo pamoja naww uliyeangani

Kuhusu pilots kutumia flat earth map ni loogic tu ya kawaida, unawezaje kuonyesha mabara yote kwenye ramani ambayo ni globe?
 
Flat earthers wazee wa tafiti kwa macho
 
Acha siasa.
 
Umenena mkuu,

Hata hivyo nmefika hitimisho nae, acha tumuache na ujinga alionao.

Japo naamini mpaka muda huu kuna maswali yanamuumiza kichwa ila hatoweza kukiri hapa.
 
Mkuu,.kwanza unapaswa uelewe kwanini watu wanapinga baadhi ya theories ambazo wewe unadai ni facts.

Watu wanapinga Kwasababu kwenye hizo theories unazosema ni facts...kuna loopholes zinazoruhusu watu kupinga.
Loophole ya kwanza ni kukosekana Kwa uthibitisho usio na shaka unaothibitisha hizo unazosema ni theories zenye facts,..nasema hivyo Kwasababu mpaka sasa hakuna uthibitisho usio na shaka kuhusu:-
(a) Dunia Tufe 🌍
(b) Dunia ku rotate
(c) Gravity inayoshikilia maji kwenye dunia Tufe.


Ingekua kuna ushahidi usio na shaka kuhusu hizo nadharia,..usingeona watu wanapinga!

NB:- Nahitimisha Kwa kusema panicking na kuona eti watu ni wajinga hakutoshi kuwa uthibitisho kwamba Dunia ni Tufe, gravity ni real, Dunia ina spin,.....kitu cha msingi unachotakiwa kufanya ni kuweka uthibitisho.

UTHIBITISHO UTHIBITISHO UTHIBITISHO....!!
 
Kaa ukijua.
 
Umenena mkuu,

Hata hivyo nmefika hitimisho nae, acha tumuache na ujinga alionao.

Japo naamini mpaka muda huu kuna maswali yanamuumiza kichwa ila hatoweza kukiri hapa.
Sawa,. nadhani ni vizuri tukubaliane kwamba tunahitimisha mjadala huu Kwa sasa kukiwa hakuna uthibitisho wowote juu ya:-
(a) Dunia Tufe linalozunguka πŸ‘‰πŸΌπŸŒ
(b) Gravity inayoshikilia maji kwenye tufe.
 
Kwanza sijakataa watu kuhoji, ila tatizo ni wewe, hujibu maswali unayoulizwa, ukijibiwa maswali yako unayakataa majibu bila sababu. Yaani huna fact zozote unazotoa haupo straight kwenye mada Moja unarukaruka.
 
Sawa,. nadhani ni vizuri tukubaliane kwamba tunahitimisha mjadala huu Kwa sasa kukiwa hakuna uthibitisho wowote juu ya:-
(a) Dunia Tufe linalozunguka πŸ‘‰πŸΌπŸŒ
(b) Gravity inayoshikilia maji kwenye tufe.
Kwann unakataa uwepo wa gravity?
 
Nimekwambia stop being ignorant.
Kwamba tunachokiona ni refraction? How refraction inafanya kitu kipotee kisionekane, How?
Refraction haifanyi kitu kipotee,..bali hupelekea kitu kubend na kuonekana ni kikubwa kuliko uhalisia wake.
Umeandika maelezo mengi lakini Mimi naomba nikuulize swali moja Tu mtaalamu,.....
1. Je, Jua lipo stationary as you are trying to claim here?, mpaka umeufananisha na Mlima(at,the same time unaamini Mlima haupo stationary una move pamoja na Dunia,..kisha hapa unasema Mlima upo stationary,Gari ndiyo lina move!


KIVUMBI LEO....
 
Inaonekana Flat Earther wameshinda sababu Ellipsoidal Earther wameshindwa kujipambanua kuhakiki nadharia zao au labda Elimu yao ni ndogo, na huu mjadala umewazidi
 
Kwann unakataa uwepo wa gravity?
Kwasababu hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake kwenye uhalisia,...ilipaswa tuone kweli jinsi gravity inavyoshikilia maji kwenye dunia Tufe.

Lakini pia kama gravity ni force yenye nguvu kubwa ya kuvuta kila kitu towards the center of the earth..... let's say inaweza kumvuta kiumbe mkubwa kama Tembo towards the center of the earth,...then how inashindwa kumzuia kiumbe mdogo kama Tai(Eagle) asifanye flight?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…