Nimeshakwambia utachoka Bure, he can't even explain what he says. Anaruka ruka tu.
Usihangaikenae, Kuna vitu vingi tu vinaoperate Kwa kutumia nadharia(ambayo saivi ni fact) ya Dunia ni ellipsoidal.
Kila kinachoweza kuelezea umbo la Dunia kuwa ni tufe wanakitoa wanasema hakipo, watasema hakuna gravity Bali ni density mara buoyancy, saivi wameanza kukataa Jua kuzama, hivo hivo watakataa as long as vitathibitisha umbo la Dunia ambayo sio tufe.
So nakushauri achananae he add nothing to your head, atleast angekuwa straight na ana-make sense, yeye anarukaruka na kukataa vitu na kukimbia maswali.