Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Inaonekana Flat Earther wameshinda sababu Ellipsoidal Earther wameshindwa kujipambanua kuhakiki nadharia zao au labda Elimu yao ni ndogo, na huu mjadala umewazidi
Flat earthers empty set
 

Aiseeee
 
Lab
Daah 😂😂, nimesema mlima upo stationary nikichukulia reference earth ground, yaan gari inamove wrt ground while mlima upo stationary wrt earth ground,
 
Uthibitisho Gani unaoutaka? Yaani unataka uzionee hizo force zinazovuta vitu kwenye Dunia serious?

Sasa ndugu hujui ni mechanism Gani inafanya ndege mnyama aweze kuruka angani? Aya huyo eagle asipo tanua mbawa zake na kuzipeperusha je ataendelea kukaa angani?
Ni uelewa mdogo tu unahitajika kuelewa kuwa eagle au ndege yeyote hutanua mbawa zao na kupushi air downward or backward Ili waweze kumove upward and foward. Nadhani nimekujibu.

Je wewe unadhani ni kitu gani kinafanya vitu fall back to ground kama sio gravity.
 
Alafu Ili tusisumbuane sana, unatakiwa ujibu hoja zifuatazo bila kurukaruka Kwa sababu hoja za Dunia ni tufe zipo straight. ukishajibu then tutaendelea kuhusu Dunia tufe.

1. Kama sio gravity ni nini?
2. How eclipses occurs including lunar phases?
3. Unaamini ramani za mabara zilizopo?
4. How sun set/rise occur, nakuruhusu kuelezea upupu wako wa refraction.
 
Gravity ni hoax kijana,
 
NASA wanajua Dunia ni flat ila ndo hivyo wanafanya kazi kwa maslahi ya Satan kuendekea kuwadanganya dunia ni 🌎.

Van braun baada ya kufa aliamua kuwambia ukweli wa hii Dunia, ila kwakua akili zetu zimefungwa hatung’amui.
 
NASA wanajua Dunia ni flat ila ndo hivyo wanafanya kazi kwa maslahi ya Satan kuendekea kuwadanganya dunia ni [emoji289].

Van braun baada ya kufa aliamua kuwambia ukweli wa hii Dunia, ila kwakua akili zetu zimefungwa hatung’amui.
Wanadanganya kwa sababu zipi ?
 
Una kilanga sana, maswali yangu hujibu ila yako unataka yajibiwe, kesho asubuhi ukiamka utakutana na jibu lako
Majibu hadi utafutize ndio ujibu watu,

Yani unatetea kitu ambacho majibu hauna vituko hivi [emoji16]
 
Lab

Daah 😂😂, nimesema mlima upo stationary nikichukulia reference earth ground, yaan gari inamove wrt ground while mlima upo stationary wrt earth ground,
Tuanzie hapa,..kuna swali la msingi sana nimekuuliza lakini umekwepa kulijibu....nitakurudishia hapa👇🏼

1. Je, Jua lipo stationary as you are trying to claim here?

Na,. hivi unaona unavyojichanganya?....

kwanini unachukulia Earth Ground ni stationary,...wakati Kwa imani yako Dunia na Ground yake zina move? Logically haiingii akilini!

Na,.Kwa kuwa umesema hakuna kukimbia maswali....naomba pia usiruke swali hata moja ukikosea sema na ukiwa hujui pia sema.
 
Uthibitisho Gani unaoutaka? Yaani unataka uzionee hizo force zinazovuta vitu kwenye Dunia serious?
Sio kuona force zinavyovuta vitu,..ila tunataka atleast evidence moja tu ambayo itaonyesha jinsi gravity inavyoweza kushikilia maji kwenye dunia Tufe.....Najua unajiuliza itawezekanaje ushahidi wa aina hiyo?......
Jibu ni kwamba,...lete video ambayo ni real kabisa ya Dunia Tufe 🌍 linalozunguka....ambayo video hiyo imekua captured downward ikionyesha movement ya maji kwenye dunia Tufe na namna yanavyokua held-up na gravity.... Nadhani hili ni ombi rahisi.

Sasa ndiyo ufahamu kwamba kinachofanya huwezi kuruka juu ni kukosa mechanism ya kupaa tu, mechanism ambayo Ndege na Wadudu wengine wadogo wamepewa.,na sio kwamba gravity imekuzuia/kukuvuta.
 
Jua lipo stationary bila shaka kabisa,

Hivi unaelewa neno "reference" Au "with respect to" Kama nilivyoyatumia?
Take an example, upo kwenye gari linamove na kunagari lingne linamove pembeni mwa gari ulilopo Kwa speed sawa na uelekeo sawa, ukiangalia Hilo gari je, utaliona linamove ukilinganisha na kama ingekuwa gari lenu limesimama?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…