The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Asantee sana Kwa kunipa nafasi hii na samahani Kwa kuchelewa.Saw,.kama ni kweli yeye ni Mwalimu mzuri..tusubiri aje atuambie kivipi JUA LIPO STATIONARY?
Akifanya comeback juu ya madai yake hayo nitaamini kweli yeye ni Mwalimu mzuri.
Kwa kuanza kabisa naomba nikuulize swali fikirishi japo I wish tungekuwa ana Kwa ana Ili tupeane majibu papo Kwa hapo,
Swali langu ni kuwa Kwa mfano upo kwenye basi unasafiri kwenda sehem Fulani umekaa tu kwenye kiti chako huendi sehemu yoyote, je tutasema upo stationary au unamove?
Na pia upo Kwa gari hiyo hiyo, then ukanyanyua kutoka kwenye seat uliyopo na kwenda mpaka seat ya dereva, je utasemaje kuhusu hili?