Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Saw,.kama ni kweli yeye ni Mwalimu mzuri..tusubiri aje atuambie kivipi JUA LIPO STATIONARY?

Akifanya comeback juu ya madai yake hayo nitaamini kweli yeye ni Mwalimu mzuri.
Asantee sana Kwa kunipa nafasi hii na samahani Kwa kuchelewa.

Kwa kuanza kabisa naomba nikuulize swali fikirishi japo I wish tungekuwa ana Kwa ana Ili tupeane majibu papo Kwa hapo,

Swali langu ni kuwa Kwa mfano upo kwenye basi unasafiri kwenda sehem Fulani umekaa tu kwenye kiti chako huendi sehemu yoyote, je tutasema upo stationary au unamove?
Na pia upo Kwa gari hiyo hiyo, then ukanyanyua kutoka kwenye seat uliyopo na kwenda mpaka seat ya dereva, je utasemaje kuhusu hili?
 
Nimemuuliza anajua maana ya "reference au with respect to" hapo ndo Kuna changamoto.
Mkuu, kuhusu "with reference to".....nimeshakuambia kwamba, It doesn't make sense to assume the mountain is stationary while it constantly moves with the earth, according to your belief...
 
Mkuu, kuhusu "with reference to".....nimeshakuambia kwamba, It doesn't make sense to assume the mountain is stationary while it constantly moves with the earth, according to your belief...
Labda hukunielewa vzr mkuu,
Nimekupa mfano upo kwenye gari inamove umekaa kwenye seat umekaa je watu wengine waliopo kwenye Hilo gari wamekata seat za pembeni watakuona unamove au umekaa?
 
1. Mkuu siongelei kupaa hapa, naongelea ni nn kinachofanya ukiruka urudi kwenye ground,

2. Hili swali hujajibu kikamilifu na huwa unajibu simple simple tu Kila mara, umesema Jua na mwezi vinazunguka kwenye realm Moja and then zinakuja kublockiana? Embu elezea vzr.

Lunar phases hujaelezea na najua huwezi ndo maana unaruka na kujibu simple tafadhali elezea.

3. Ramani yoyote Ile unayoijua ww, kusudi langu lipo kwenye umbo la mabara Kwa mfano bara la Africa ukiambiwa uchore Kuna namna utachora, ndo nachomaanisha.

4. Bado umerudia hujajibu, nimekwambia elezea hiyo refractio sio kuitaja tu maana maana Jua tunalolionaga ni Moja tu hatujawah kuona Jua lingne Kwa maana ya kwamba real one na hiyo refracted at once.
Please naomba maelezo,
 
Sawa,.. nadhani swali lako tulivunje vunje ili tuweze kulitafsiri vizuri zaidi.

Scenario 1 : Upo kwenye basi unasafiri kwenda sehem Fulani umekaa tu kwenye kiti chako huendi sehemu yoyote, je tutasema upo stationary au unamove?

JIBU: Kwenye scenario hii ya kwanza,..licha ya kuwa umekaa kwenye seat yako huendi popote...tutasema haupo Stationary kwa kuwa wewe na Gari uliyopanda mpo kwenye movement.

Scenario 2: Na pia upo Kwa gari hiyo hiyo, then ukanyanyua kutoka kwenye seat uliyopo na kwenda mpaka seat ya dereva, je utasemaje kuhusu hili?

JIBU: Kwenye scenario hii ya pili... Pia tutasema haupo Stationary Kwa kuwa apart from moving with your car na wewe umefanya movement toka kwenye seat yako mpaka kwenye seat ya dereva...

So, since the car carrying you is constantly moving, we will not consider you as being stationary. We'll only consider you stationary if you and the car carrying you both stop moving.
 
Safi hapo umejibu vizuri, Sasa hapo ndio neno "relative" linapoanzia Kwa maana "RELATIVE TO THE CAR YOU'RE MOTIONLESS WHILE RELATIVE TO THE EARTH GROUND YOU'RE MOVING" sijui umenielewa au niachane na neno STATIONARY?
 
Safi hapo umejibu vizuri, Sasa hapo ndio neno "relative" linapoanzia Kwa maana "RELATIVE TO THE CAR YOU'RE MOTIONLESS WHILE RELATIVE TO THE EARTH GROUND YOU'RE MOVING" sijui umenielewa au niachane na neno STATIONARY?
Sawa,. Mlima tunautenganisha vipi na Dunia?
Kwa mfano tunawezaje kutenganisha Gari na Taa zake?

I mean,.sio sahihi kusema Gari lina move,lakini Taa zake zipo stationary.....sijui unanipata?

Hapa logically ni kwamba,.Kwa kuwa hatuwezi kutenganisha Mlima&Dunia..Tukisema Mlima upo stationary ni sawa na kusema Dunia ipo stationary....


Then,kuna swali nimekuuliza kuhusu Jua kuwa stationary naona hujatoa ufafanuzi....imekaaje hii?
 
Mlima hatuwezi kuutenganisha na Dunia elewa vyote mlima, Dunia na hiyo gari niliyoiongelea kwenye mfano wa mlima vina move speed sawa. Lakini mlima ni motionless relative to Dunia, hapo tupo sawa?
Acc =( V-v°)/t
Na ndio maana nikakwambia labdo nitoe neno stationary niseme motionless relative to earth ground.

Kuhusu Jua kuwa stationary ni kuwa Jua linarotate at its own axis at the same time Lina revolve kwenye galaxy yake.
 
Sawa,. nadhani hapa tukubaliane kwamba Mlima ni sehemu ya Earth's ground,..so there's no way tunaweza kusema Mlima ni motionless relative to Dunia,.

Kwa mfano logically,...sio sahihi kusema sikio ni motionless relative to mwili wa binadamu Kwa kuwa sikio pia ni sehemu ya mwili wa binadamu.

Nadhani hii ishu ya Mlima tuiachie hapa,...yoyote atakaekuja kusoma ataelewa ashike lipi. Let's agree to disagree🤝🏼
Kuhusu Jua kuwa stationary ni kuwa Jua linarotate at its own axis at the same time Lina revolve kwenye galaxy yake.
Sasa hapa unazidi kujichanganya mkuu,...Ni Bora kuwa humble na kukiri kwamba ulikosea kwenye previous post.....

Kwasababu,.. huwezi ukasema Jua lipo stationary...kisha sasa hivi unasema Lina rotate.

Au maana ya kitu kuwa stationary sio hii tunayoijua sote?
 
Hii ndo shida yako, mgumu kuelewa.
Nimekuandikia na formula hapo
acc = (V-v°)/t
Au acceleration ni sawa na "change of velocity" gawa Kwa time,
Pia neno "Relative" ni gumu kulielewa wewe. Hujui Relative speed kabisa (u-v) na (u+v)

Chukulia Mfano wako huo wa sikio kwenye kichwa, je sikio linamove kutoka kwenye position yake ya kwenye kichwa chako Kwa sababu tu wewe unatembea? Hapo ndo logic ya "Respect to" inapokuwa ni lazima uwe na "frame of reference ". nahisi form two topic hii ilikupiga mkono.

Okay, nilikosea Jua halipo stationary.
 
Hii huioni kabisa? hateeb10
 
Hii huioni kabisa? @hateeb
 
1. Hili swali nimelijibu zaidi ya mara moja Kwamba kikanuni ukiruka utarudi chini ili usirudi itakubidi upae,...Na ili upae unahitaji mechanism ambayo itakuwezesha ku generate lift,. binadamu miili yetu haipo designed kutuwezesha ku generate lift na kutufanya tusirudi chini kama swali lako linavyouliza.......


2. Shida unataka maelezo yangu yawe in alignment na kile ambacho tayari akili yako imekariri...Mimi nitarudia kukujibu simple kwamba,. Eclipses hazihusishi kabisa Dunia Kwasababu Dunia ipo stationary.... Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...


Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.

Regarding moon phases,hapa pia umbo la Dunia halihusiki.... Moon phases zinatokana na jinsi Mwezi unavyofanya movement kwenye anga....ambapo phase ya kwanza inaonyesha visibility ambapo Mwezi huonekana ncha yake Tu 🌙 ....na phase ya mwisho kabisa ni full moon ambapo mwezi huwa visible fully as viewed kutoka hapa Duniani.....so kimsingi Dunia na umbo lake halihusiki kwenye movement ya Jua na Mwezi Kwa kuwa Dunia ipo stationary & flat..We only observe the results of the movement of celestial bodies in the sky.,The Earth doesn't block the moon/ sun in any way.

4. Yes naamini kwenye ramani tunazotumia.... though hiyo hai guarantee Kama zipo 100% perfect,kwa mfano kuna ishu ilikua raised kwamba size ya bara la Asia imekua exaggerated Kwa kiasi fulani..yani limefanywa kubwa kwenye ramani kuliko uhalisia wake.

5. Mkuu,. Hiyo effect ya refraction inatokea Kwa hilo hilo Jua moja....au unaposema 👉🏼 "hatujawah kuona Jua lingne Kwa maana ya kwamba real one na hiyo refracted at once.".....unamaanisha nini?
Refraction ndiyo inafanya hilo Jua(moja) kuonekana linazama during sunset na linachomoza during sunrise....na refraction ndiyo inafanya Jua kuonekana kubwa kuliko uhalisia wake during vipindi vyote viwili
.
 
Okay, nilikosea Jua halipo stationary.
Sawa,.naomba nikuulize swali

Wote tunaambiwa kwamba we can't feel the earth's rotation kwa milango yetu ya fahamu,.. kwa kuwa Dunia ina move kwenye constant speed....

Sasa je, wewe binafsi anthony_art umetumia kipimo au mechanism gani kujua na kuthibitisha kama kweli Dunia ina spin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…