Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kuhusu hiki kitu nilikuuliza hapo nyuma,

Je density ni force ukasema hamna. Sasa unasemaje tena density isababishe kitu kimove?
Au hujui maana ya force ? Au hujui maana ya inertia?
Density sio kwamba ina ufanya mpira u move,..bali Kwa kuwa mpira ni mzito kuliko hewa mpira utadondoka...

Ni kitu gani kinakupa uzito wa kuelewa hapo?

Sawa na wewe upande kwenye mgongo wa mtoto wa miaka mitano...what will happen?
 
Najua unaelewa vizuri sana,.sema unataka kuforce ionekana kuna something kina miss ili ukiongezee,.... I'm telling you hakipo hicho unachofikiria mtaalamu 🤝🏼.
Ingekuwa nabisha tu Ili kuforce kuonesha Kuna kitu kina miss sidhan kama ungeama hama kutoka kwenye sabab yako ya kuwa vitu vinafall Kwa sabab havina mechanism ya kuvifanya vipae ukahamia density na bouyancy mpka ukaja air resistance.

Hapo tu ni uthibitisho tosha kuwa Kuna kitu kina miss.

Kama unabisha niruhusu nikuelezee Kwa uelewa wangu alafu unambie ni wapi Kuna shida.
 
Density sio kwamba ina ufanya mpira u move,..bali Kwa kuwa mpira ni mzito kuliko hewa mpira utadondoka...

Ni kitu gani kinakupa uzito wa kuelewa hapo?

Sawa na wewe upande kwenye mgongo wa mtoto wa miaka mitano...what will happen?
Bado Kuna shaka,

Uzito (mass) ni force?
 
Sihami hami bure...bali ni kutokana na fact kwamba kinachofanya mpira urudi chini ni combination of factors,. mechanism, air resistance, density, buoyancy na kadhalika.
 
Density sio kwamba ina ufanya mpira u move,..bali Kwa kuwa mpira ni mzito kuliko hewa mpira utadondoka...

Ni kitu gani kinakupa uzito wa kuelewa hapo?

Sawa na wewe upande kwenye mgongo wa mtoto wa miaka mitano...what will happen?
Labda kama unaongelea weight sawa
 
Sihami hami bure...bali ni kutokana na fact kwamba kinachofanya mpira urudi chini ni combination of factors,. mechanism, air resistance, density, buoyancy na kadhalika.
Sasa si ndo namaanisha Kwa maelezo ya awali Kuna vitu vilimiss na ndio maana ukadevelop maelezo. Au nakosea?
 
Sihami hami bure...bali ni kutokana na fact kwamba kinachofanya mpira urudi chini ni combination of factors,. mechanism, air resistance, density, buoyancy na kadhalika.
Hapo kwenye kadhalika ndo hupataki😂
 
Sasa si ndo namaanisha Kwa maelezo ya awali Kuna vitu vilimiss na ndio maana ukadevelop maelezo. Au nakosea?
Mwanafunzi akiwa haelewi Mwalimu lazima ajitahidi kutafuta mbinu ya kumfanya aelewe Kwa urahisi zaidi.
 
Hahh kwamba hapo kwenye kadhalika ndiyo unataka umpenyeze mjomba gravity?🙌🏼
Me sijasema na Wala sitaki nitaje neno gravity kwenye maelezo yako ndo maana nakuacha u flow free na nakuuliza maswali kulingana na hoja zako sio zangu.
 
hateeb10 unajua Moja ya kitu kinachonifanya niendelee kujadiriana naww humu ni kuwa huruki ruki yaan hutok nje ya fact za sayansi.
 
Ndiyo,..Mass can indeed act as a force in certain situations, For example When you place your hand on the shoulder of a 5-year-old boy, the mass of your arm exerts a downward force on his shoulder. This force is the result of the mass of your arm. The boy feels this force as the weight of your arm pressing down on his shoulder.

I hope this helps you understand Mtaalamu anthony_art
 
Acha uongo bwana picha ya dunia sio image ya computer ni picha zinazopigwa na satellite
 
hateeb10 unajua Moja ya kitu kinachonifanya niendelee kujadiriana naww humu ni kuwa huruki ruki yaan hutok nje ya fact za sayansi.
Yap,.nikiruka ruka mjadala utakua hauna tija tena.

Ila jaribu kuwa open minded,..utajua kuna vitu sio lazima uelewe kama watu wengine Dunia nzima wanavyojua...Kwa mfano Mtu kama Newton angesema akariri yale yale ambayo kundi kubwa la watu liliamini kwenye Zama zake huenda asingekuja na laws zake mbalimbali....so kuna umuhimu wa kuacha japo nafasi kidogo tu Kwa akili kufikiria beyond pale ambapo watu wameishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…