Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Yes,
opposite direction ni chini na kama unakumbuka nilipokuuliza nini kinafanya force ipungue na mpka kuisha, ulisema ni air resistance Kwa sababu Ina act opposite na direction ya motion ya objects ikiwa Inaenda juu au sivyo?

Sasa baada ya force kuisha hakuna tena motion inayoendelea kwenda juu, kwahy hakuna resistance yoyote itakayotokea au nakosea?
Kinachofanya force ipungue au iendelee kuwepo sio tu Air resistance,...bali kuna factors nyingine kama consistency ya force iliyotumika,..Kwa mfano kama force iliyotumika kupeleka object juu itakua na muendelezo basi air resistance inaweza kushindwa Kuzuia object husika kwenda juu,..

Lakini incase,.force iliyotumika kupeleka object juu haipo consistent maana yake air resistance itashinda game na kuirudisha object upande ilipotokea.

Nikijibu swali lako hili👇🏼

Jibu ni kwamba,.Air resistance inaanza Ku act instantly pale motion ya object husika inapoanza,sio kwamba inasubiri mpaka force iishe...so kabla hata force ya kwenda juu haijawa weak tayari air resistance ishaanza kufanya kazi na ultimately object itarudishwa chini as a result of resistance.
 
Sijajua uwezo wako wa uelewa upo vp.

Air resistance ni nn? Na Ina act vp kwenye object? Labda nikikuuliza ivyo ndo utaelewa.
 
Au nikuulize swali la kijinga,

Air resistance Ina affect object ikiwa kwenye motion pekee au hata ikiwa at rest?
Resistance inatokea object ikiwa kwenye motion....

Object ikiwa at rest,. Itakua affected na air kwa kuwa disturbed away from its equilibrium, so hatuwezi kusema air imefanya resistance against the motion of that object... Bali hewa imefanya object itoke kwenye original resting point yake.
 
Sijajua uwezo wako wa uelewa upo vp.

Air resistance ni nn? Na Ina act vp kwenye object? Labda nikikuuliza ivyo ndo utaelewa.
Mkuu, yaani Kwa tulivyojadili muda wote hapa kuhusu Air resistance,...sasa hivi ndiyo unauliza Air resistance ni nini?

So, tokea mwanzo ulikua huelewi au?
 
Resistance inatokea object ikiwa kwenye motion....

Object ikiwa at rest,. Itakua affected na air kwa kuwa disturbed away from its equilibrium, so hatuwezi kusema air imefanya resistance against the motion of that object... Bali hewa imefanya object itoke kwenye original resting point yake.
Vzr sana, kama ikiwa kwenye motion je Ina affect in which direction in relation to motion body?
 
Duh mbona hili swali nishajibu?

Inashangaza.....

Ila sio kesi acha nijibu..."Ina affect in the opposite direction of the motion body". ⬆️⬇️
 
Safi, Sasa kipindi Mpira inashuka chini, je hapo air resistance inakuwa kwenye direction ipi?
 
Safi,. Kipindi Mpira unashuka chini Air resistance ipo kwenye downward direction ili kukamilisha kanuni yake ya Ku oppose motion of the object ambayo ilikua inaenda juu.
 
You don't make sense at all, yaani at that time mpira unaenda downward 👇 hapo hapo air resistance pia downward 👇, huoni kama inaondoa maana ya ku oppose?

Resisting" refers to opposing or withstanding something.

Air resistance itself doesn't cause a body to move; rather, it acts to oppose or slow down the motion of a body that is already in motion.
 
Labda kama hujui tu, air restance always Ina oppose motion ya body,

Ni sawa tu assume wewe upo Kwa ajili ya Kuni oppose Mimi, then kwenye hii mada mwisho wa siku nikubali ulichokuwa unasema let's say Dunia siyo tufe, wewe itakubidi tena uanze kunipinga kuwa Dunia ni duara cause siku zote wewe upo kwa ajili ya kunipinga

Sijui unaelewa lakn!!
 
kama dunia ni duara kwanin mtu wa south Africa isiende asia kupitia uko uko chini(south of the world) lakn badala ake anaenda kupitia nchi za northern Africa
 
Wanachoangalia ni best route kibiashara na emergence.

huwez kuwasafirisha watu kupitia bahari Kubwa wakat Kuna best route na ya karibu na ambapo Kuna nchi nyingi ambazo hutumia kama vituo, na pia Kwa ajili ya tahadhali.
 
mmmh lakn uko chin panakuwa kalibu sana
 
mmmh lakn uko chin panakuwa kalibu sana
Una uhakika?
Screenshot_20240310-164258~2.png
 
You don't make sense at all, yaani at that time mpira unaenda downward 👇 hapo hapo air resistance pia downward 👇, huoni kama inaondoa maana ya ku oppose?

Resisting" refers to opposing or withstanding something.

Air resistance itself doesn't cause a body to move; rather, it acts to oppose or slow down the motion of a body that is already in motion.
Hahh kwamba Mimi ndiyo si make sense... haya sawa
 
Wewe ubishi ndiyo unakufanya upate shida ya kuelewa.

Air resistance itapelekea mpira Ku slow and move downward ⬇️, kitu ambacho tayari ni against the direction ambayo mpira ulikua unaenda(upward )⬆️,... then una force eti kwanini air resistance isiuzuie mpira na kubadilisha direction urudi juu tena...

Relax na usiwe conservative.
 
Sasa Ina make sense vipi?

Tumekubaliana air resistance ina oppose motion ya body in opposite direction au sivyo?

Tunasema kama object Ina move right ▶️ basi air restance itakuwa left ◀️ kama body inamove ⬇️ basi air resistance itakuwa upward ⬆️.

Sasa wewe maelezo yako haya 👇👇 unayaelewa?

Safi,. Kipindi Mpira unashuka chini Air resistance ipo kwenye downward direction ili kukamilisha kanuni yake ya Ku oppose motion of the object ambayo ilikua inaenda juu.
 
Wewe ubishi ndiyo unakufanya upate shida ya kuelewa.

Air resistance itapelekea mpira Ku slow and move downward ⬇️, kitu ambacho tayari ni against the direction ambayo mpira ulikua unaenda(upward )⬆️,... then una force eti kwanini air resistance isiuzuie mpira na kubadilisha direction urudi juu tena...

Relax na usiwe conservative.

Wewe ndo mbishi na mgumu kuelewa vitu vidogo tu;

Sawa mpira umekuwa slowed down na kuanza kumove down,
Sasa swali langu lilikuwa kipindi Mpira unarudi downward ⬇️ air resistance ilikuwa Ina affect Kwa direction Gani? Ukasema downward ⬇️.

Ndo maana nikakuuliza tena unajua maana ya air restance na Ina affect vipi body.

Always air resistance ni opposing, Sasa object Inaenda downward ⬇️ alafu unasema tena na air resistance Inaenda downward ⬇️ huoni kama humake sense?

Au haya maneno alisema nani?

"Ila sio kesi acha nijibu..."Ina affect in the opposite direction of the motion body". ⬆️⬇️"
 
Sasa Ina make sense vipi?

Tumekubaliana air resistance ina oppose motion ya body in opposite direction au sivyo?

Tunasema kama object Ina move right ▶️ basi air restance itakuwa left ◀️ kama body inamove ⬇️ basi air resistance itakuwa upward ⬆️.

Sasa wewe maelezo yako haya 👇👇 unayaelewa?

Safi,. Kipindi Mpira unashuka chini Air resistance ipo kwenye downward direction ili kukamilisha kanuni yake ya Ku oppose motion of the object ambayo ilikua inaenda juu.
Ngoja nikusaidie sasa maana sijui una tatizo gani.

Scenario NI hii 👉🏼. Mpira uliokua unaenda juu(upward)⬆️,.ukakutana na air resistance,.na kuufanya Mpira huo urudi chini (downward)⬇️.

Ninaposema downward direction namaanisha direction ambayo air resistance ina push object kwenda huko at the moment,...sasa ulitaka niseme air resistance wakati huo ipo na upward direction?,
 
Back
Top Bottom