hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kinachofanya force ipungue au iendelee kuwepo sio tu Air resistance,...bali kuna factors nyingine kama consistency ya force iliyotumika,..Kwa mfano kama force iliyotumika kupeleka object juu itakua na muendelezo basi air resistance inaweza kushindwa Kuzuia object husika kwenda juu,..Yes,
opposite direction ni chini na kama unakumbuka nilipokuuliza nini kinafanya force ipungue na mpka kuisha, ulisema ni air resistance Kwa sababu Ina act opposite na direction ya motion ya objects ikiwa Inaenda juu au sivyo?
Sasa baada ya force kuisha hakuna tena motion inayoendelea kwenda juu, kwahy hakuna resistance yoyote itakayotokea au nakosea?
Lakini incase,.force iliyotumika kupeleka object juu haipo consistent maana yake air resistance itashinda game na kuirudisha object upande ilipotokea.
Nikijibu swali lako hili👇🏼
Sasa baada ya force kuisha hakuna tena motion inayoendelea kwenda juu, kwahy hakuna resistance yoyote itakayotokea au nakosea?
Jibu ni kwamba,.Air resistance inaanza Ku act instantly pale motion ya object husika inapoanza,sio kwamba inasubiri mpaka force iishe...so kabla hata force ya kwenda juu haijawa weak tayari air resistance ishaanza kufanya kazi na ultimately object itarudishwa chini as a result of resistance.