hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Maelezo nimetoa through observational research...Nijibu swali langu acha propaganda, we umetoa wapi hayo maelezo unayonambia, maana mwisho wa siku namm naweza kujiongezea tu vitu visivyo vya kweli.
Toka nje hapo muulize hata kilaza yoyote kwamba,...Je.,Una weight ya ngapi?
Uone kama atahusisha masuala ya gravity,...hiyo ni Kwasababu gravity kuihusisha na uzito wa object ina apply kwenye makaratasi tu.