Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Nijibu swali langu acha propaganda, we umetoa wapi hayo maelezo unayonambia, maana mwisho wa siku namm naweza kujiongezea tu vitu visivyo vya kweli.
Maelezo nimetoa through observational research...

Toka nje hapo muulize hata kilaza yoyote kwamba,...Je.,Una weight ya ngapi?

Uone kama atahusisha masuala ya gravity,...hiyo ni Kwasababu gravity kuihusisha na uzito wa object ina apply kwenye makaratasi tu.
 
Kuona mabadiriko yoyote kivipi?
I mean kwanini Dunia inazunguka constantly lakini ukanda mmoja wenyewe constantly milele na milele directly unakua unapigwa na Jua?

Kiasi ambacho hata winter season isitokee kabisa?

Don't you think kwamba only in a stationary earth hilo ndiyo linawezekana?
 
Hivi unaelewa kweli?

Ipo hivi, Dunia inazunguka Jua kufuata msitari wake, it means kama kusingekuwa na rotation ya dunia katika muhimili wake basi upande mmoja wa Dunia ungekuwa unapata Jua milele.

Lakin Kwa sabab Kuna rotation ya dunia side zote za tufe zitapata mwanga wa Jua.

Sasa kinachotokea ni hiki; ukiangalia umbo la tufe kwenye equator ndio Pana experience direct sunlight hata Dunia izunguke vipi. Sijui naeleweka?
 
Umeshasema kilaza. Kwahy naww ni kilaza?
 
Nahisi huelew nachokwambia au unajitoa akili
 
Kwamba nje ya Dunia hakuna nguvu ya mvutano ya kuvuta vitu?

Umesahau kwamba unaambiwa kwenye Black hole hata Mwanga ukikatiza unavutwa na kupotelezewa mbali?

Inaonyesha haupo detailed vya kutosha mkuu...
Sasa mbona dunia haijavutwa na hiyo black hole?
We ni mgonjwa kumbe!
 
Umeshasema kilaza. Kwahy naww ni kilaza?
Kwani wewe Mtu akikuuliza,. How much do you weigh?" Utamuambia inategemea na gravity?

Jaribu kupitia kidogo 👇🏼
How much do you weigh?.....It is a question that inquires about a person's weight, typically asking for the measurement in units such as pounds (lbs) or kilograms (kg). This question can be seen as personal, and how one chooses to respond can depend on their comfort level with the topic and their relationship with the person asking.


Uki complicate mambo ndiyo utaanza,..ooh weight inategemea gravity,. Kitu ambacho sio sahihi mtaalamu.
 
Nimekuuliza swali ukipima weight na ukapima mass numeric value zitakuwa exactly the same?
 
Sasa mbona dunia haijavutwa na hiyo black hole?
We ni mgonjwa kumbe!
Mimi nadhani unanisingizia,.. atleast ungewaita wagonjwa hao waliosema kwamba Black hole inavuta kila kitu kitakchopita distance Fulani,...ambao ndiyo hao hao waliokuambia kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka ukaamini,..sasa kama wao ni wagonjwa na unahisi wamekulisha matango pori,...Then wewe utakua mzima kweli?


NB:- Kwenye kujaribu kukuweka sawa ili uwaelewe waliosema kuhusu black hole kuvuta kila kitu,...ni kwamba wao wanasema kuna distance fulani from black hole ukiifikia ndiyo hautoweza Ku escape hata mwanga pia hauwezi.


Naamini umejifunza kitu hapo.
 
Unajizungusha maelezo mengii, nilikuuliza mass ni scalar au vector quantity? Hukujibu unaleta siasa
 
Jitahidi ufikirie zaidi...hiyo haitoshi.
Hakuna lolote sisi waafrika tunapenda kuweka ujuaji kwenye kila kitu.. leo hata dini kuna watu wanajifanya wanaijua kuliko waliozileta.

Hapa watu wanabishana lakini intarnet unayotumia katengeneza mzungu,simu,gari nk yeye bado unaleta ujuaji.
 
Ukitumia SI unit unamaana Gani? Kwamba ukipima mass na ukipima weight numeric value ni sawa ila tofaut ni SI unit?
Concern yangu ni kwamba weight & Mass ni maneno yenye maana sawa tu....tukiondoa hadithi za gravity.
 
Hakuna lolote sisi waafrika tunapenda kuweka ujuaji kwenye kila kitu.. leo hata dini kuna watu wanajifanya wanaijua kuliko waliozileta.

Hapa watu wanabishana lakini intarnet unayotumia katengeneza mzungu,simu,gari nk yeye bado unaleta ujuaji.
Kwahiyo unaamini wanao question ni Waafrika Tu?
 
Nimekupa uthibitisho wa jinsi neno "weight" lilivyotumika kabla ya Newton...

Unashindwa vipi kuelewa logic ndogo hiyo.
We jamaa bishi sana, nimekuuliza ukipima weight na ukapima mass numeric value zitakuwa the same?

Au hujui weight na mass zinavyopimwa?
 
kuhusu black hole kuvuta kila kitu,...ni kwamba wao wanasema kuna distance fulani from black hole ukiifikia ndiyo hautoweza Ku escape hata mwanga pia hauwezi.
Kwa hiyo unakubali kwamba hakuna mvutano wa kuyavuta maji kwenda nje ya dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…