Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hili ni umbo gani 👉🏼◻️
 
Upo sahihi so jiwe linapurushwa juu hiyo air resistance Ina act kulislow down mpaka linasimama momentarily na kuanza kurudi chini maswali yangu ...kwa Nini lirudi chini na lisisimame tu pale juu kuiobey hiyo resistance(maana friction force ikiact objects huslow down then husimama). Swali la pili tufanye Hilo jiwe limejianzia tu kurudi je kwa Nini hufika chini na speed kubwa mpaka kutoa kishindo kabisa wakati wa impact na ardhi? Hiyo air resistance ilishindwaje kulislow down Kama upward journey?
 
kwa Nini lirudi chini na lisisimame tu pale juu kuiobey hiyo resistance(maana friction force ikiact objects huslow down then husimama).
Jiwe haliwezi kusimama kwenye hewa Kwa kuwa lenyewe ni more dense kuliko hewa..... nadhani hii imejibu swali lako vizuri...

Swali la pili tufanye Hilo jiwe limejianzia tu kurudi je kwa Nini hufika chini na speed kubwa mpaka kutoa kishindo kabisa wakati wa impact na ardhi? Hiyo air resistance ilishindwaje kulislow down Kama upward journey?

Kinachofanya Jiwe kufika chini kwa speed na kishindo kikubwa wakati linafika ardhini ni kutokana na uzito(mass) wa Jiwe husika,...
Then, unapaswa ufahamu kwamba mpaka Jiwe linaanza kushuka chini means Ile force iliyotumika kurusha Jiwe juu imeshuka mpaka kufikia zero kabisa,...so baada ya hapo Jiwe litashuka chini due to the fact it's dense than air kama nilivyoeleza hapo juu....hatutegemei jiwe liende kushoto wala kulia kwasababu in the first place force iliyotumika kulirusha haikutokea huko bali chini...I hope this helps.

 
Swali la msingi unalikwepa shehe, umeulizwa hivi "air resistance ni force"?
Jibu ndio au hapana
 
Oya we mweupe! Kwanza unajua mass ni Nini? Mass siyo uzito mass ni. Tungamo ( namba ya particle zilizopo kwenye jiwe Ina maana particle zikiwa nyingi mass huongezeka) na ndo maana mangi anakupimia unga kwa kilinganisha na jiwe la mass hiyo hiyo. Sasa kinachovuta Hilo jiwe chini kwa Nini kiwe na nguvu kubwa kuliko kinacholipeleka Hilo jiwe juu? Achana na density kwani density inalielekezaje jiwe chini na siyo juu? Kwa ufupi tuambie Pana Siri gani kurudi chini huku na siyo kuendelea kielea juuu
 
Hilo ndiyo tatizo la kukariri sasa,...eti Mass sio uzito.

Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwamba kadri hizo particles zinavyoongezeka kama unavyosema ndiyo uzito(mass)wa mzigo unaongezeka..... inasikitisha sana kama simple logic kama hiyo inakupa shida basi kazi ipo.


Pamoja na elimu kukufuata kila uchwao..wewe umeamua kutoka mbio kuikimbia.
 
Mkuu nliomba picha ya Dunia tambarare,

Sijaomba sehemu ya Dunia ( Hapo umeonyesha mji mdogo tu )
Wewe unataka kuona Dunia nzima? Mkuu bado hatuna teknolojia ya picha inayoweza Ku capture Dunia nzima. Teknolojia iliyopo inaruhusu ku capture sehemu tu ya Dunia vipande vipande,.. kumbuka Dunia ni kubwa mno.



Au wewe una picha ya Dunia nzima?
 
Wewe unataka kuona Dunia nzima? Mkuu bado hatuna teknolojia ya picha inayoweza Ku capture Dunia nzima. Teknolojia iliyopo inaruhusu ku capture sehemu tu ya Dunia vipande vipande,.. kumbuka Dunia ni kubwa mno.



Au wewe una picha ya Dunia nzima?
Hii ndio picha bora kuwahi kupigwa ya Dunia yetu na chombo cha ndugu Elon Musk.

Imepigwa na chombo cha Starship kwa camera bora na imara sana,


Dunia yetu Ilipigwa picha na kurekodiwa video yenye quality ya hali ya juu kuwahi kutokea.


 
Wewe unataka kuona Dunia nzima? Mkuu bado hatuna teknolojia ya picha inayoweza Ku capture Dunia nzima. Teknolojia iliyopo inaruhusu ku capture sehemu tu ya Dunia vipande vipande,.. kumbuka Dunia ni kubwa mno.



Au wewe una picha ya Dunia nzima?
Chombo kilichotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu cha ndugu Elon Musk..


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…